democrasia ina gharama kubwa
Hakuna demokrasia hapo! Hiyo inaitwa millitary coup au coup de etat!democrasia ina gharama kubwa
Are you sure?Good news ni kuwa Gaddafi amejificha bado,.
Are you sure?
only if they know the burial placeha haaa hatimae wataenda 'kulia' kwenye kaburi la gaddafi....soon...
Maybe, maybe not. Ila nadhani wale spokesman wa hiyo rebel movement (now in power) walienda ulaya kuongea na NATO na wakasign mikataba fulani fulani kwa kusaidiwa. NATO hainge jileta tu hivi hivi, mbona hawaendi yeme au syria? Ila there is no way wangejua kua bill itakua kiasi gani sababu inaenda kulipa vitu hivi katutajia ZN:Was the amount/basis to bill agreed in advance before NATO involvement?
They are probably as surprized as we are na sijui watawaambiaje population yao maana hii pesa yote itatoka kwenye pesa ya kodi ambayo ingewafaidi population...Gharama kamili ya vita hivyo ni $ 1000 Billion
- Ujenzi wa Miundo mbinu iliyoharibiwa
- Uundaji wa jeshi jipya
- Matibabu ya walioathirika na vita- majeruhi ambao inakadiriwa kuwa laki 5
- Malipo ta base ya marekani
- Gharama ya kutokomeza wapinzani ambao bado wanapigana.
- Gharama ya kuleta umoja wa kitaifa ambao haupo tena.
- Gharama ya ubadhilifu ambao umejitokeza.
Ndiyo maana walimzika kwa siri ili kazi ikianza asiwepo mtu wa kumuona tena Gaddafi alikuwa shujaa wao.ha haaa hatimae wataenda 'kulia' kwenye kaburi la gaddafi....soon...
Are you sure?
Another bogus pro Gadaffi news na kama kawaida ya JF wanarukia tuu bila hata kufikiria na kutafuta ukweli kidogo...sijui hata kama mnaijua 480 billions?
Hii kali,niliwauliza washabiki kuwa kama wana uhakika pesa za walibya zitakuwa salama.Wako wapi?* Says just $1.5 bln of $170 bln foreign assets unfrozen * Says new political system may take 5 years to bed in
Nilijua tu! yaani I was ready to cut off my hand. Sema nilikua sijapata uhakika... Hawa IMF na IBRD sijui tutawapona vipi. How further will they go???Libya's acute cash crisis is set to get worse and its banking system requires a complete overhaul that will be guided by the International Monetary Fund and World Bank, the central bank's recently appointed governor said.
A NEW BANKING MODEL
He said he hoped the influence of international organizations would help shape a new Libyan model of banking, and the groundwork had already been laid by IMF and World Bank over the previous 2-3 years. ( duuh, mapinduzi ya IMF halafu kuna watu wanasema walibya walimchoka Gaddafi btw hii model ya zamani ilifanya wonders kwa nchi ya Libya..sasa wataingia madeni na soon watajikuta bankrupted by Inter. bankers)
"The IMF and WB have a roadmap and I would like to go ahead with the facelift. We need a strong central bank," he said.
Zaidi hapa INTERVIEW-Libya cbank looks to IMF amid cash crisis | News by Country | Reuters