NATO na Ukraine wamekubali yaieshe mbele ya Putin

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.

Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.

Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
 
Hawajafikia makubaliano yoyote, mpaka wafanye kikao
 
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.

Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.

Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Uchawa uliovuka mipaka
 
Shukrani sana mkuu, lakini ninavyo ijua hulka ya Zelensky pamoja na washuri wake wakuu, si rahisi Zelensky kujitoa kichwa kichwa eti "anaenda kujisalimisha kwa Putin" hilo halitatokea tusijisidinganye kabisa.

Zelensky na wenzake wanataka vita hii iendelee huko Ukraine indefinitely ili viwanda vya magharibi vya kuunda silaha vipige hela ndefu na Zelensky aendelea kug'ang'ania madarakani kwa visingizio mbali mbali. Hapo Zelensky na washauri wake wamepanga kumchota akili Trump, hawataki amani ya kweli Nchini Ukraine.
 
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.

Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.

Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Unapoamka asubuhi unafikiria kuandika chochote tu hapa jf.,
 
Urusi ni dubwana kubwa
Binafsi ningependelea wapige marufuku Viongozi kutoka Uingereza,Ufaransa na Ujerumani kuzonga zonga sehemu patakapo fanyiwa mkitano, jamaa hao kero sana na kujitia ujuaji mwingi na fitina. ndio wanao mpotosha hata Zelensky mwenyewe, kwa bahati nzuri hata Trump mwenyewe amekwisha washtukia.
 
Trump aliahidi kuimaliza hii vita ndani ya muda mfupi lakini mpaka sasa hamna kitu
kampeni ni jambo hatari sana , na alkua mjanja sana kila akihojiwa ataimaliza vipi alikua anakwepa kujibu anasema muda ukifika wataona tu anajua nini cha kufanya.
 
Ni wajinga sana kukubali kuimega Ukraine. Ilipaswa Urusi aiache ukraine kama ilivyokuwa, bila hivyo itakuwa kama israel na palestine, kila baada ya muda patakuwa panafuka moshi hadi moto.
 
P
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.

Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.

Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Maraisi Putin na Trump watakutana Ijumaa ijayo Alaska ambayo ni mpaka wa Marekani na Russia.

Mji mahsusi wataokutana haujatajwa lakini yasadikiwa kuwa ni mji wa Anchorage.

Katika mkutano huo Russia itakubali kuachia miji ya Kherson na Zaporiznzhia na itachukua sehemu yote ya Donbass ambayo yajumuisha miji ya Luhansk na Donetsk pamoja na eneo la Crimea ambalo Russia ililitwaa mwaka 2014.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom