Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,352
Tumekusoma Mrusi wa BuzaHabari hii ni mbaya sana kwa wamarekani wa JF
Tumekusoma Mrusi wa BuzaHabari hii ni mbaya sana kwa wamarekani wa JF
Ushoga uliingiaje humu ? Kwann usngetumia term sahihi kuonesha haupo kama alivyokuainishaKwa hiyo kuniita mropokaji ndo mjadala na hoja sio?
Usinitolee povu mm nimeleta habari kwa kumnukuu kamanda mkuu wa NATO na ushahidi nimeweka kwa kuweka screen shot ya habari kutoka BBC, sasa yeye anapo kuja na kusema ni propaganda unataka nimueleweje?
Wanamsifia ili ajae wa Mbamize vizuri
Mmarekani aliwadanganya sana Ila urusi ujuwe kuanzia Leo ndio mbabe wa NATO na MAREKANI WENU TRUST TIME
Wewe unaonaje?
Wewe umemuelewaje kamanda?Kwahiyo waNATO siku hz wanaongea ukwel ? Kauli hiyo kama ni kwel ilipaswa kuongewa kwenye media au kuwahabarisha waukraine waliopo front ?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Hata siku moja mkuu, propaganda mwanzo mwisho kwa hilo tu wamekubuhu SANA.
Mmarekani aliwadanganya sana Ila urusi ujuwe kuanzia Leo ndio mbabe wa NATO na MAREKANI WENU TRUST TIME