NATO: Jeshi la Urusi bado liko imara

NATO: Jeshi la Urusi bado liko imara

Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika.

Kamanda huyo ameendelea kwa kusema kwa sasa Urusi ina vitengo vingi vya kijeshi vyenye siraha za kisasa vilivyo tiyari kwa mapambano kuliko hata kipindi ambacho ilikuwa haijaivamia Ukraine.

Chanzo BBC swahili.

View attachment 2622411
Urusi awamwagia mbegu nzito wote hao
IMG_20230515_200327.jpg
 
Kabisa, kama afande Rama, mpaka mke alikua naye na watoto

asiyepiga nyeto, akakomaa na nyuchi, akaukwaa, akameza mbaazi za milele ni mwanaume kamili nakubali
Wewe huogopi kuukwaa isipokuwa huwezi kuimbisha upewe...hujakamilika.
Babako angemwaga chini daima usingezaliwa
 
Habari hii ni mbaya sana kwa wamarekani wa JF
Mtu ukipigana naye kama una mpango wa kumwua ukamtwanga hadi akaanguka nchini na kupumua kwa shida lengo lako kama ni kumuua ukiulizwa na waandishi wa habari utawaambia bado yuko imara sababu unamuona bado anapumua

Sababu lengo.la kumuua bado kufikiwa pamoja na kuwa yuko hpi snapumua kwa shida

Ndiyo maana ya hilo.tamko.la NATO kuwa Urusi bado iko .imara kiukweli Urusi yuko hoi bini taabani ila wenyewe.wanaomtwanga bado lengo lao halijafikiwa
 
Bado haujajibu swali mkuu
Kwenye hiyo Kauli ambayo JPM alisema Kuwa Adui akikushangilia (anakusifia) rudi nyuma ujiulize n wapi ulipokosea,, lakin ukiona anakusema vibaya basi ujue umempiga,
NATO na Urusi ni pande mbili ambazo hazielewan kwa sabab ya uvamizi ambao Urusi ameufanya Ukraine kwaiy hao n kma madui so inapotokea NATO anamsifia Urusi Kuwa Bado yupo imara ndo tnarudi kwenye hiyo Kauli Kuwa Adui akikushangilia ujue haupo sahihi jiulize ni wapi Kuna mistake
Kwenye kauli nilo andika ya JPM ndo nilikua na maana yangu hiyo

Kwenyee hapo sjui tusikilize jiwe au Kamanda, kwanz huyo jiwe simfaham labda nikulize www
 
Urusi ilijiandaa mda mrefu, haukukurupuka kuivamia Ukraine
Wangapi watakuelewa mkuu - wengi wao wanafikiri asubuhi moka Putin alikirupuka kitoka usingizini na ku-excute massive pre emptive strike dhidi ya jeshi la Ukraine na maafisa wa baadhi ya troops wa jeshi la NATO/USA walio kuwa wamejipanga vilivyo kushambulia kusini mashariki mwa Ukraine mwezi wa February lakini jeshi la Putin likawawahi - kwa kuwaipango yao ya kidhalimu zidi ya Urusi inafahamika nenda rudi si rahisi kuwashtukiza Warusi - watajibu mapigo kwa kiwango cha kutisha pale usalama wa Taifa lao utaonekana unafikia kikomo cha kuhatarishwa na mabeberu - hapo ndipo USA itamjua kiundani jeshi la Urusi ni la kiwango/uwezo upi - hapa tnajisemea tu kwamba sijui USA zaidi wakati wala USA haijawahi kupigana vita na a military strong Nation like Russia and China - wengi wanazungumza mambo ya kubuni tu baada ya kuangalia make believe movies za HollyWood na propaganda za CNN,BBC,FoxNews,SkyNews na Al Jazeera maiigizo tu hawazungumzii WW3 ikifumuka patatokea nini Duniani.
 
Kwenye hiyo Kauli ambayo JPM alisema Kuwa Adui akikushangilia (anakusifia) rudi nyuma ujiulize n wapi ulipokosea,, lakin ukiona anakusema vibaya basi ujue umempiga,
NATO na Urusi ni pande mbili ambazo hazielewan kwa sabab ya uvamizi ambao Urusi ameufanya Ukraine kwaiy hao n kma madui so inapotokea NATO anamsifia Urusi Kuwa Bado yupo imara ndo tnarudi kwenye hiyo Kauli Kuwa Adui akikushangilia ujue haupo sahihi jiulize ni wapi Kuna mistake
Kwenye kauli nilo andika ya JPM ndo nilikua na maana yangu hiyo

Kwenyee hapo sjui tusikilize jiwe au Kamanda, kwanz huyo jiwe simfaham labda nikulize www
Naona unatumia nguvu nyingi sana kutetea uongo. Huyo kamanda alichosema kamaanisha
 
Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika.

Kamanda huyo ameendelea kwa kusema kwa sasa Urusi ina vitengo vingi vya kijeshi vyenye siraha za kisasa vilivyo tiyari kwa mapambano kuliko hata kipindi ambacho ilikuwa haijaivamia Ukraine.

Chanzo BBC swahili.

View attachment 2622411
Propaganda tupu.Habari yako yote haina Jina la huyo Kamanda Kazi yako Ni Kurupoka tu.
 
Back
Top Bottom