NATO: Jeshi la Urusi bado liko imara

NATO: Jeshi la Urusi bado liko imara

Ukiona mtu mzima anaanza kurusha matusi na kelele nyingi wakati mjadala bado unaendelea kistaarabu ujue tayari ameshafilisika kimawazo- Hana point tena; yaani amefikia pale wanaita End of Thinking Capacity au kwa kifupi wanaandikaga "etc".
Kwa hiyo kuniita mropokaji ndo mjadala na hoja sio?

Usinitolee povu mm nimeleta habari kwa kumnukuu kamanda mkuu wa NATO na ushahidi nimeweka kwa kuweka screen shot ya habari kutoka BBC, sasa yeye anapo kuja na kusema ni propaganda unataka nimueleweje?
 
Kwa hiyo kuniita mropokaji ndo mjadala na hoja sio?

Usinitolee povu mm nimeleta habari kwa kumnukuu kamanda mkuu wa NATO na ushahidi nimeweka kwa kuweka screen shot ya habari kutoka BBC, sasa yeye anapo kuja na kusema ni propaganda unataka nimueleweje?
OK. Mkuu, unaonaje kumwita mwenzio ni Shoga? Hili neno Shoga ndo linachefua na linagusa mno ndani ya faragha ya mtu binafsi.
Mbona kwangu mm umeongea vizuri tu wala sina cha kukulaumu kwani ni kweli nimetoa povu na hilo sio tusi.
Propaganda ni utoaji wa habari zisizothibitika zenye lengo la kuwagilibu na kuwapotosha watu ili waamini kitu tofauti na uhalisia/ukweli ulivyo -hilo sio tusi. e.g. Wanasiasa wote ni propagandists.
Mropokaji au Kuropoka ni kile kitendo cha kutoa habari bila kuichuja au kuiedit (Uncensored report) na hivyo inakuwa na maswali mengi na wakati mwingine usipokuwa mwangalifu inaweza kukutia matatani. Hilo nalo pia sio tusi japokuwa haipendezi kwa mtu mzima kuambiwa ameropoka.
Samahani lakini ninaweza kuwa nimekukwaza zaidi.
 
Upuuzi mtupu - kukimbilia kuitangazia Dunia hasara Urusi iliyoipata katika vita hii, lakini ukimuhoji na huko Ukraine mambo yao yakoje kijeshi - hawapati hasara hata kidogo??? Wataalamu wa masuala ya kijeshi wakisema Urusi kitu ingine mabeberu wanajitia kupuuzia tu - lakini wakizidiwa kete kidogo lugha inabadirika kwamba kumbe Urusi ni mpingo - na hapo kumbuka wanao pigana ni wanamgambo wa kusini mashariki mwa Ukraine kwenye majimbo yaliyo chukuliwa na Urusi - swali hapa ni, je, jeshi la Urusi likihamua kupigana moja kwa moja patatokea nini? Si NATO/USA wote watapotezana ikawa every man for himself......
Hii sio propaganda ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wangapi watakuelewa mkuu - wengi wao wanafikiri asubuhi moka Putin alikirupuka kitoka usingizini na ku-excute massive pre emptive strike dhidi ya jeshi la Ukraine na maafisa wa baadhi ya troops wa jeshi la NATO/USA walio kuwa wamejipanga vilivyo kushambulia kusini mashariki mwa Ukraine mwezi wa February lakini jeshi la Putin likawawahi - kwa kuwaipango yao ya kidhalimu zidi ya Urusi inafahamika nenda rudi si rahisi kuwashtukiza Warusi - watajibu mapigo kwa kiwango cha kutisha pale usalama wa Taifa lao utaonekana unafikia kikomo cha kuhatarishwa na mabeberu - hapo ndipo USA itamjua kiundani jeshi la Urusi ni la kiwango/uwezo upi - hapa tnajisemea tu kwamba sijui USA zaidi wakati wala USA haijawahi kupigana vita na a military strong Nation like Russia and China - wengi wanazungumza mambo ya kubuni tu baada ya kuangalia make believe movies za HollyWood na propaganda za CNN,BBC,FoxNews,SkyNews na Al Jazeera maiigizo tu hawazungumzii WW3 ikifumuka patatokea nini Duniani.
Kwan WANATO wanaonges ukwel siku hz ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom