ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,104
- 19,441
Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika.
Kamanda huyo ameendelea kwa kusema kwa sasa Urusi ina vitengo vingi vya kijeshi vyenye siraha za kisasa vilivyo tiyari kwa mapambano kuliko hata kipindi ambacho ilikuwa haijaivamia Ukraine.
Chanzo BBC swahili.