National IDs; how will this work?!

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
I thought to myself; how will this work amid many sophisticated machineries which didn't work at all?!

1. PCCP was formed as a result of the failure by the ordinary police force to cub corruption, PCCB itself hasn't.

2. Cellphones registration system was instituted and proclaimed to effective in enhancing users and national security, to date, cellphones are used to highjack and terrorize people without help. Non the less; cellphones users are loosing their money from electronic accounts without help.

Within this environment, will the national ID achieve its purpose?:spy:
 
tusubiri tuone itakuwaje, yapo mengi ya kujiuliza kuhusu hii project ya NIDA
mwishoni tutaambiwa mtu kaweka hela mfukoni na kakimbia na ofis kama ilivotokea Uganda.
world bank walishauri hawa jamaa waanzishe vitambulisho vya bar code wao Nida wanangangania smartcard technology wkt nchi haina infrastructure.
pia kuna mkanganyo kati ya sensa na Nida kuhusu ukusanyaji wa takwimu nk

PCCB wamekosa meeno kwani hawana meno kamili
labda Nida itakuwa mkombozi kama hakutatokea usanii wa kuwapa vitambulisho wageni kama ilivotokea wakati w akupiga kura.
 
tusubiri tuone itakuwaje, yapo mengi ya kujiuliza kuhusu hii project ya NIDA
mwishoni tutaambiwa mtu kaweka hela mfukoni na kakimbia na ofis kama ilivotokea Uganda.
world bank walishauri hawa jamaa waanzishe vitambulisho vya bar code wao Nida wanangangania smartcard technology wkt nchi haina infrastructure.
pia kuna mkanganyo kati ya sensa na Nida kuhusu ukusanyaji wa takwimu nk

PCCB wamekosa meeno kwani hawana meno kamili
labda Nida itakuwa mkombozi kama hakutatokea usanii wa kuwapa vitambulisho wageni kama ilivotokea wakati w akupiga kura.[/QUOTE

Tatizo nchi hii kila mradi ni "Dili". Sielewi kwanini wasingeanza kwa kukusanya data zilizopo Rita, uhamiaji, TRA hasa kwenye walio na leseni za magari n.k kabla ya kuanza kukusanya taarifa mitaani. I smell a "rat on this Masha corrupt initiated program"
 
mbona ishu ya usajili wa simu inafanya kazi vzr tu, ndomana mwanahalisi iliweza kuto deteiled report juu ya tukio la ulimboka.
tatizo hizo taarifa zinatumiwa vp na vyombo husika kutatua matatizo kama uhalifu nk.
 
Back
Top Bottom