National Council for the Defense of Democracy na chama cha demokrasia na maendeleo ni watoto wa baba mmoja

Masenu K Msuya

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Habari wanabodi,
Ukifatilia kwa makini mfumo wa uendeshaji wa vyama hivi utagundua vyama hivi vinafanana kama watoto mapacha.

Wote wawili wanajinasibu ni wanademokrasia hata ukiangalia majina ya vyama vyao yanaelezea kupigania demokrasia ilihali hawana demokrasia yoyote ndani yao especial uhuru wa wanachama wao kukosoa mambo yasioenda sawa ndani ya vyama vyao.

Wote wawili wana wenyeviti wa kudumu tofauti na chadema hawajasema live kama National Council for the Defense of Democracy

Wote wawili wenyeviti wao hawapingwi na yoyote atakayewapinga ataonyeshwa chamtee makuni

Watanzania hapo ndo tuangalie kwa wenzetu wa burundi ndo tufikirie kuwapa nchi cdm
 
Naytsory

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,180

Mkuu wewe utuambie lengo lako hasa ni nini? Maana hata hiki chama kilichopo madarakani hakina nafuu kwa Watanzania. Wewe unataka Watanzania wauchukie upinzani hasa chadema? Au una lengo lingine zaidi?
 
ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,382
2,000
Katika mapambano haupaswi kubadilisha nahodha,mapambano ni mtihani ndio maana vyama vya ukombozo havikubadilisha nahodha mpaka vimetia nanga utambadilishaje Mandela,samora,mugabe nk wakati wa mapambano?
 
Masenu K Msuya

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Katika mapambano haupaswi kubadilisha nahodha,mapambano ni mtihani ndio maana vyama vya ukombozo havikubadilisha nahodha mpaka vimetia nanga utambadilishaje Mandela,samora,mugabe nk wakati wa mapambano?
Mkuu nahodha kafeli sasa tufanyaje
 
Masenu K Msuya

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Hujawahi hata kuwa abiria Wa wapenda mabadiliko sembuse ubaharia, umejuaje kafeli wakati wewe ni mlamba viatu Wa wanyonyaji?
Mkuu nahodha kashindwa kudhibiti hata madiwani wanaotukimbia nahodha ambaye kutwa kulalamika kwenye press conference
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,108
2,000
Mkuu nahodha kashindwa kudhibiti hata madiwani wanaotukimbia nahodha ambaye kutwa kulalamika kwenye press conference
Wanakuja upande wenu nyie wabarikiwa mliojikabidhi nchi kuwa Mali yenu binafsi, sasa kelele za nini au unatujoke?
 
JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,222
2,000
Habari wanabodi,
Ukifatilia kwa makini mfumo wa uendeshaji wa vyama hivi utagundua vyama hivi vinafanana kama watoto mapacha.

Wote wawili wanajinasibu ni wanademokrasia hata ukiangalia majina ya vyama vyao yanaelezea kupigania demokrasia ilihali hawana demokrasia yoyote ndani yao especial uhuru wa wanachama wao kukosoa mambo yasioenda sawa ndani ya vyama vyao.

Wote wawili wana wenyeviti wa kudumu tofauti na chadema hawajasema live kama National Council for the Defense of Democracy

Wote wawili wenyeviti wao hawapingwi na yoyote atakayewapinga ataonyeshwa chamtee makuni

Watanzania hapo ndo tuangalie kwa wenzetu wa burundi ndo tufikirie kuwapa nchi cdm
Hawatakuelewa.
Kabla ya 2015 BAVICHA walikuwa wanaandika hoja zenye mashiko, siku hizi ni matusi tu. Shuhudia kwenye uzi huu!
 
Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,099
2,000
Katika mapambano haupaswi kubadilisha nahodha,mapambano ni mtihani ndio maana vyama vya ukombozo havikubadilisha nahodha mpaka vimetia nanga utambadilishaje Mandela,samora,mugabe nk wakati wa mapambano?
Swadakta, una akili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom