National Consciousness; A challenge to political parties | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

National Consciousness; A challenge to political parties

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Felister, Feb 12, 2011.

 1. F

  Felister JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  What does the concept of 'National consciousness' mean to us citizen of this country? Have we as a nation come into common understanding of what we strive for?

  For the past three years we've been drawn into the complex discussion on what we have termed Ufisadi and I and i guess everybody whose conscious is still clear do believe this is the biggest problem we have which act against our common and good intension of developing this country. My question is do we have as a nation come into common understanding of this specific complex problem? How much of us have come into agreement that if we get rid of this new terminology in our Tanzanian's swahili vocabulary we would find our way through all peoples welfare? Who is leading us into this fight and how? Are we united or divided? In christianity we have a saying 'two can not walk together if are not in agreement; Are the people of this country in agreement with a specific political party into getting rid of this cancer? Is there any genuine political will of uniting people to fight against this pandemic disease?

  In favour of CHADEMA (why, because atleast have made me see light so far); with your moto of People's power what do you want this power for? How much of this power have you gained and how do you use this into fighting Ufisadi?

  Great thinkers karibuni tu discuss based on our parties jinsi vyama vyetu vinavyo weza unganisha watu wafikie uelewa wa pamoja wa jinsi ya kuondoa ufisadi.....Ni nguvu ya uma ndo itaondoa ufisadi lakini lazima kuwe na kinacho coordinate hiyo nguvu.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  this is very interesting.. I'll get back to this one.. thanks.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu.. asante sana... kwanza nasikitika kwamba serikali yetu inayoongozwa na chama tawala CCM haina nia dhabiti na dhati ya kukubali vyama vya upinzani na challenge zake kama mojawapo ya jukumu la wapinzani la kuikumbusha serikarikali katika kufanya kazi za maendeleo ya mtanzania kwa ufanisi ... bado ccm wanakinyongo na wanachuki dhidi ya upinzani kwa sababu wapinzani wanawaelewesha wananchi juu ya haki zao.., wanawaelewesha wananchi wa tanzania dhuluma,ubadhirifuwa fedha za nchi na wizi mkubwa wa rasilimali za nchi na ufisadi ambao ndiyo kitu kinachoongoza nchi hii...fisadi anaogopwa kuliko hata rais wa nchi au mwenyekiti wa chama tawala

  upinzani unafanya kazi nzuri sana lakini serikali ya chama tawala inauvunja mbavu kwanza kwa kutumia hata matusi na kupandikiza chuki za udini na ukabila... huu mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania ni mfumo kandamizi...majukumu ya wapinzani yanakuwa magumu kutekeleza pale wanapotaka kuwafikia wananchi na kuwapa maelezo na elimu kuhusu maendeleo yao...wapinzani hunyimwa kufanya mikutano ya hadhara ..kufanya maandamano ya amani na vitu vingi ambavyo ni haki ya msingi

  hii ni hoja moja tu katika maswali mengi ya msingi uliyoyauliza
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0

  Parties should not encourage divisions rather encourage umoja for national interest!

  Chadema has gained a lot in dividing people through religious lines, hence it has causes antigonism to some section of national population..(they can be better in future with great leadership in place) ..after mbowe and slaa of course!!!

  If they are for people and for national interest, i think it wasn't that difficult to solve political difference with CUF for the national interest

  As of what will unite us? and who will coordinate, i would rather prefer community leader than political leader who is hungry of power at any cost..
   
 5. F

  Felister JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Atleast umenipa moyo...nusu nianze kumtafuta Albert Msando anisaidie kunitia moyo kwani niliitikia wito wake kwa vitendo lakini wapi bwana sijui sijafikia standard zake? Salalaaah, kazi kwei kwei!
   
 6. F

  Felister JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lakini je wananchi wanakubaliana na hao wapinzani; yaani wanaongea lugha moja kweli? Kama ndivyo vipi CCM wasiozidi milioni tano ( based on voters statistics 2010) iwaburuze watu zaidi ya milioni 30? I doubt kama hili lina ukweli......Kama wanaweza basi wanajua jinsi ya kufanya siasa zaidi ya upinzani.
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu...stat. za popullation ya TZ ni 40M na ukitaka kujua kwambawatu hawa wanaburuzwa ni ukweli kwamba... waliojiandikisha kupiga kura ni watu takriban 21M na waliopiga kura ni watu 9M ...hivyo serikali hii inaongoza nusu ya watu waliopiga kura na katika hao nusu JK amepata about 5.5m hivyo ..... that means amechaguliwa by 25%..... swali la msingi ..... watu zaidi ya milioni kumi na mbili waliojiandikisha kupiga kura mbona hawakupata fursa hiyo ya kuonekana kwa haki yao ya msingi.... nionavyo mimi hii discrepancy ya idadi ya voters ni...au wapiga kura hawa 9M wameona wamechoka serikali iliyopo madarakani wakaamua ku abstain from voting au kura zao zimehujumiwa ......

  naomba nimquote pro democracy leader Aung San Suu Kyi

  "Governments must be chosen by the people and once in power must permit opposition. The basic principle of allowing people to voice views you disapprove of is alien to authoritarian regimes",

  [FONT=&quot]Aung San Suu Kyi[/FONT]
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  So far chadema ndio chama pekee kilichoweza na kinachoweza ku-coordinate peoples power.miaka mitano iliyopata ikiwa na wabunge 'wachache' chadema ilianza kuimba wimbo wa ufisadi,ikaonyesha jinsi ufisadi ulivyotafuna nchi,pia ilituonyesha na kutuaminisha kua chanzo cha umasikini wetu ni mafisadi wachache.list of shame ikatajwa na tukaona mmoja baada ya mwingine wakiabika na kujikanyaga.lakini haikuishia hapo kwani niliwahi kumsikia dr.slaa akisema kwa sasa tunahitaji kufumua mfumo mzima wa uongozi na uendeshaji serikali yetu,nadhani hili lilipelekea chadema kuahidi katiba mpya ndani ya siku mia moja.kwa ufupi chadema wanastahili pongezi kwa kuwaamsha watanzania kutoka usingizini.

  TUNACHOHITAJI:ni kitu kimoja cha muhimu ambacho kitakua ni muongozo wa mahitaji mengine yaliyobaki.
  Tunachohitaji ni utaratibu mpya wa kuendesha mambo yetu.utaratibu ulioridhiwa na watanzania wa tabaka zote na sio genge la wasomi au wanasiasa ambao kwa sasa naweza sema wamechakachuliwa.
  Tunachohitaji ni KATIBA MPYA iliyoundwa na kuridhiwa na wananchi kwa manufaa ya watanzania wa leo na baadae.
  50 years have passed bado tunaongelea ufisadi(uhujumu uchumi),elimu mbovu,umasikini na maradhi.this means katiba iliyopo haijakidhi malengo ya kupambana na mambo hayo hapo juu.tunahitaji katiba mpya!! Hili ndio jambo tunalotakiwa kupigania kwa sasa.
   
 9. F

  Felister JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Do you want to suggest CCM is the spearhead wa Ufisadi au?......Bado sijakupata mkuu nisamehe! I presume you are from oppositions/non political party member; incase I am right then what is your strategy into voicing the unheard voice of those who did not elect CCM assuming they did not because of the party's unseriousness into corruption reduction and prevention?
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  we will continue to blow the whistle ., educate under privileged citizens about their constitutional right and developing their own country... and lastly our citizens should well understand that to get rid of poverty and bring about hope in our nation we should invest in good leaders who will first sympathize with their citizens and revolt to the ccm anarchy and the mafisadi kingdom...hand in hand we should chant for the need for a new draft constitution
   
 11. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Felister, first accept my apologies for not throwing myself into the discussion early enough. I was a bit swamped to open the forum.

  Secondly, I must commend you for the thread. This is what all of us with the thirsty to learn and know wish for. As I have said somewhere else we will get there soon rather than later. Even though there are no 'albert's standards' but this has met all the standards of a useful and food-for-thought thread.

  My view, we as a nation have not arrived at that agreement. We as a nation can not reach that agreement. The reasoning is simple, it is a class society. The different classes can not agree on the same and one thing.

  What you are seeing on the streets of various countries is class movement. It is a movement by one class (the poor) against the other class (the rich). The former class has had enough. Enough of its inherent problems.

  Unless the phrase 'national consciousness' is not meant to be used in its literal sense then we can not as a nation come to an agreement. But as a class that may be achieved.

  Felister, I have deliberately avoided to use the word we. There isnt us in our country. I can not in all honesty claim myself to be forming the lower class. Its hypocritical! And so is Freeman Mbowe, Zitto, Slaa and many others.

  We talk on behalf of the disadvantaged but we do not share their disadvantages! Thats to me is a plain fact!
   
 12. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  LAT, you are a star....your use of 'we will continue to educate under privileged citizens of their rights....their country' is mind blowing. At least you are honest and true. You have clearly shown that 'its them'. You havent fallen into the obvious ditch of hypocricy! That is good step!
   
 13. l

  limited JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  very interesting topic kwa mtazamo wangu hii nguvu ya umma itakuja muda si mrefu sababu kwa sasa nchi inaelekea kubaya hasa kuwa na gap kubwa ya maskini na matajiri (hii gap inakuwa balanced wakati huduma za jamii e.g shule, dawa, living conditions ziko ok kwa maskini). kwa sasa kundi kubwa la vijana wana maliza elimu ya vyuo vikuu ni waelewa na hawa ni wengi. watakapokosa ajira na ukali wa maisha pale ndipo watakowaondoa viongozi wabovu kwa sabau watakuwa hawadanganyiki kiurahisi na hakuna hela itakayotosha kuwarubuni.(hii migomo ya sasa ni kidogo na ni chanzo)

  kuhusu "what will unite us" na coordinator-
  kazi inakuja kuwa ngumu pale ambapo unakuwa na wapinzani(wanasiasa) wanaotaka kuchukua madaraka kwa manufaa binafsi au kuwaondoa wale waliopo ili watafune wao.
  tukae tukijua hao mafisadi hawalali na wao wana tumia mbinu nyingi kuvuruga ili tusiweze kuwaondoa.

  Watu wakumbuke tangu 1992 hakuna chama kilichoweza kujipanga vizuri na kuchukua viti vingi bungeni CDM did it na hii ni tishio kwa chama tawala na mafisadi sababu wanajua watagundulika.

  na nikweli kwamba politcal leaders wengi wao wanataka power cha kwanza ni kubadilsha katiba na kuwaelimisha wanchi haki zao, rushwa inashamiri sababu ya umasikini,(bcs of the gap), uzalendo umekufa(chukua chako mapema) nahii ndio mafisadi wanaitumia sana kumaliza nchi.

  naunga mkono point ya (they can be better in future with great leadership). na hasa wakiacha vijembe bungeni na kuanza kuwaelimisha wananchi mambo muhimu na kujenga chama na kuwafundisha haki zao na kiongozi anatakiwa awe vipi. kuiondoa ccm inataka ujasir na moyo na uvumilivu it is avery powerful political power in tanzania. Karibu 50% ya wapinzani walitoka huko. CCM IS GOOD,BAD, AND UGLY.like the movie
   
 14. F

  Felister JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Asante diwani kunipa moyo....huhuuu! It took me years to learn how to start threads until was given a status of senior expert in JF. Nikipata wanaonipa moyo kama wewe may graduate to mwandishi wa habari......

  Albert Msando my interest isnt in mass demonstrations but in jointing people into onenness when it comes to serious national issues. Yes we might have our social classes lakini for sure an issue like corruption affects every social class in this country except the big figures even some am sure are sometimes facing this problem when they push their issues to be endorsed in one way or another. I think this is not so big for you to figure out of what I mean when I say sometimes they do.....

  You say what I see in other countries streets is because of what one class have had of enough of its inherent problems; what about us with our corruption? Sisi chuoni mgomo ulikuwa ukitangazwa kwaajili ya boom wahuzuriaji walikuwa wachache, lakini mitihani attendance ilikuwa more than 80% kwasababu swala la mass failure lilikua haliangalii sura. So Albert Msando you mean lack of national consciousness in fighting corruption ni kwasababu halijagusa watu wengi ama? Mimi nafikiria tofauti wewe je?
   
 15. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani hizo hoja za udini ni zako wewe pamoja na CCM baada ya kuishiwa hoja na kutaka watu waache kufikiria hujuma mlizofanya wakati wa uchaguzi na ufisadi wenu. Kama wewe ni mzalendo lazima uta-appreciate kwamba bila CHADEMA usingejua ufisadi ambao CCM na serikali ya Kikwete unafanya. Na lazima utambue pia mafanikio ya CHADEMA yamepatikana chini ya Mbowe na Dr Slaa. Sio vyama vyote vya upinzani ni pinzani kwahiyo si busara kuvilazimisha kuungana kama political models zao zinatofautiana. Tumeshuhudia vyama kama TLP na vingine wakati wa uchaguzi vikijitoa dakika za mwisho na kui-support CCM, sasa utasemaje vyote ni vyama vya upinzani? Obvious ni mamluki wa CCM! Mbona CHADEMA kwa upande wa visiwani walimu-support Maalim Seif? Ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu lakini pia ni afadhari kuwa na watu wachache makini kuliko kundi kubwa lisilo na tija.
  Hoja ya udini ni ya CCM na haina tija tuongelee maswala muhimu hapa kama namna ya kuikomboa nchi mikononi mwa mafisadi (JAKAYA KIKWETE, ROSTAM AZIZ etc), Kuboresha maisha ya mtanzania, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi etc ambayo CCM na serikali yake imeshindwa kwa miaka 34 sasa!
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kikwetu ...Tunatafsiri National consciusness kama UTU WA TAIFA!!!!

  Utu ni ufahamu maalum unaopatikana kwa binadamu peke yake. Na sikila binadamu anapenda. Wako kadhaa wanousaliti na kuupinga...tunawaita wapinga utu...kwa urahisi zaidi ...MAFISADI ...this si very clear!

  Tunaposema harakati za utu wa Taifa, hapohapo tunatangaza vita na Wapinga utu wa Taifa.

  Mambo yako wazi:

  Utu wa mtu ndio asili yake... ndio asili inayimtofauitisha na wanyama na vitu vingine vyote.
  Kwa hiyo ni wendawazimu kuupinaga na Nguvu ya Utu wa Mtu (peoples power ya kweli)... kwani ushindi hautapatikana. Nguvu ya utu ...haisalitiki, hakimbiliki, hanyamazishwi na ikanyamaza.

  Historia ya Tanzania inonyesha kuwa UTU WA TAIFA kuna wakati ulikuwa kwenye kiwangi kizuri lakini sio sasa.

  Ufahamu wa utu, sio kitu cha kukaa na kupanga...kinajiweza chenyewe... ni wajibu wa mtu kukifuata wala sio kukijadili...ni juu ya wenye ufahamu huo kukipa nafasi kijionyeshe..wale watakao kipinga ... wanajipinga wenyewe..ni kuwapa muda ..wataanagamizwa na utu huohuo! Mamlaka ya utu wa mtu ..yanaweza kuzuia mabomu yote ya nuklia dunia yasilipuke...!! Ni nani huyo anataka kuupeleka mkono wake kuuzuia ufahamu wa utu usijitokeze na kuchukua Taifa...asonge mbele tumuone..!!

  Dira za mkondo wa Tz kama nchi..zinafuatiliwa... uko vizuri, waasisi waliujengea misingi kama mbegu..mwenye busara anaweza kuona..na hii mbegu haifi kirahisi..kwa kawaida inahitaji kitu kama miaka 40 - 50 kuota na kutuo tunda la kwanza...kwa hiyo wakati ndio huu! Wala hakuna shaka...mbishi aendelee kubisha..Lakini wengi mmesha anza kuisikia harufu yake, mnajipanga na kujiweka sawa, hili ni jambo bora na la kuigwa na hata wazembe wachache. wafanye hima wajiuge na asili ayo wenyewe! Vipofu bado wanafikiria kuungamiza...its not now..ni ujinga wa kiutu unawasumbua, wanaweza kuwa wamelimka kiakili lakini si kiutu..lakini wajue kuwa ..kishindo chake..kinakuja...bora kujipanaga na kukubalina na mkondo wake...hakuna cha kufanya...ni kuchagua kufuata mkondo wa mafuriko au kupingana nao!

  Kama kuna chama kitagundua mapema na kuogelea kuelekea upande sahihi wa mkodo..ni bahati yake...
  kama kuna chama kitaleta ujuaji...it will surely destined to xtinction!!

  Sio swala la kukaa na kupanaga ... swala la kufuata mkondo sahihi, kufuata asili yako mwenyewe... ni kuwa wewe!! Ni kujitambua...utu ni utanzania..Ni swala la kuwa mtanzania. Utu, hauna dini, hauna itikadi, hauna jinsia, hauna ukabila ..UTU NI UTANZANIA!!!!

  Ni swala la kila mwana JF kuupenda utu wake, kuuheshimu utu wake, kuudhibitisha utu wake... ni kuwa Mtanzania wa kweli!
  Ni swala la kila familia kuupenda utu wake, kuuheshimu utu wake, kuudhibitisha utu wake hata kwa wakti mgumu..Ni kuwa Mtanzania tu!
  Ni swala la Taifa la Tanzania kuupenda utu wa taifa lake. kuuheshimu utu wa taifa lake...ni swala la kuwa mtanzania

  UTU UTATUUGANISHA WENYEWE!!

  Utu haupitwi na wakati, huwezi kuupinga na kuusaliti wewe mtu ukabaki salama..UTANZANIA UPO, ULIKUWAPO NA UTAKUWEPO..labda kwa mpinga utu mjinga...ambaye ni fisadi wa kutupwa!!

  Ni vema kila mtu akajifunza kuogeela kuelekea mkondo wa ufahamu wa utu unapoelekea ....
  NI NANI HUYO MWENYE JEURI YA KUOGELEA KINYUME NA MKONDO HUU...
   
 17. F

  Felister JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thanks AJ kwa definition ya UTU WA TAIFA.....Lakini huu utu usipo kuwa coordinated utakuwa mafuriko maana kila mtu atachukua strategy anayoijua kuiexpress....Binadamu ni social being hawezi ishi kama yuko kisiwani ndiyo maana kukawepo order ili huyu akiwa anaongea mwingine asikilize; mwingine akisema shikamoo mwingine anajibu marahaba...anayejibu akitaja jina lake basi ujue hapo luga hazifanani yaani luga gongana kwa kiswahili cha Star TV....Ndiyo maana nikasema nani anatuongoza na je anayetuongoza tunaongea lugha moja au Babeli yetu ilisha vunjika na kila mmoja anaongea lugha yake? Ufisadi ni ugonjwa na kila mtu ameonja tamu yake na chungu yake....uchungu wa wengine ukizidi basi hapo wakianza kunena kwa luga hapatatosha ndo maana nikauliza hivi vyama vinaelewa hili? Nakama vinaelewa mbona hii discussion haifikii hitimisho? Simaanishi la kunyamza bali la kutoa suluhu inayokubalika na wote? Kama hakuna swala la suluhu inayokubalika na wengi basi tayari tuna nena kwa lugha tusubiri tu milipuko ya dynamic power inayoletwa na nguvu ya kunena kwa luga walokole tunaita 'Dunamis'
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  PHP:
  ...Kama hakuna swala la suluhu inayokubalika na wengi basi tayari tuna nena kwa lugha tusubiri tu milipuko ya dynamic power inayoletwa na nguvu ya kunena kwa luga walokole tunaita 'Dunamis' 

  Felister!
  Nieelewa kuwa ... unaamini kuwa milipuko ya dynamic power ni option nzuri? Na kama tukishindwa kupata muafaka ... the national dynamic power will be in default? ... Mimi naamua kuchukua jibu hili na kuona linafaa maana sidhani kama uamuzi wa pamoja ni wa lazima kwenye hali tuliyonayo sasa!! ..Yaani hata tukikosa namna ya kujiongoza...UFAHAMU WA TAIFA utajiogoza wenyewe(huu uwezekano upo)...katika hicho kinachoonekana ni vurugu!
   
 19. F

  Felister JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mmh ningeamini katika hili nisingetoa mchango wa ku legeza magurudumu ya mbio za Pharaho! Lakini na perceive as if kuna anaetamani hii itokee na kuna mwingine anayeomba Mungu status quo iendelee sasa hii dilema walizo nazo hawa wawili ikatengeneza ombwe fulani hivi eti mimi najaribu kuweka daraja ili mojawapo aondoke kwenye hii dilemma; inawezekana?
   
 20. L

  LAT JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Felister...status quo ya nchi ni "change and changes" ... and the change should reflect dignity among every citizen irrespective of the levels and class of living standards ... kama ni maskini akiwa anamshitaki tajiri basi apate haki yake ya kisheria na tajiri aweze kuhukumiwa in favour of the maskini with pure natural justice

  kama ni mvua kutonyeesha basi misaada ya ukame ikitolewa walengwa wa njaa waipate na sio misaada hiyo iingie kwenye mifuko ya viongozi wa serikali ..... felister nimeshuhudia unga wa ngano unauzwa kwenye supermarket ya kichina(chinese supermarket) viroba vyake vimeandikwa donated by WFP (World Food Program)...duh kazi kweli kweli
   
Loading...