National Consciousness; A challenge to political parties

National Consciousness; A challenge to political parties

Asante diwani kunipa moyo....huhuuu! It took me years to learn how to start threads until was given a status of senior expert in JF. Nikipata wanaonipa moyo kama wewe may graduate to mwandishi wa habari......

Albert Msando my interest isnt in mass demonstrations but in jointing people into onenness when it comes to serious national issues. Yes we might have our social classes lakini for sure an issue like corruption affects every social class in this country except the big figures even some am sure are sometimes facing this problem when they push their issues to be endorsed in one way or another. I think this is not so big for you to figure out of what I mean when I say sometimes they do.....

You say what I see in other countries streets is because of what one class have had of enough of its inherent problems; what about us with our corruption? Sisi chuoni mgomo ulikuwa ukitangazwa kwaajili ya boom wahuzuriaji walikuwa wachache, lakini mitihani attendance ilikuwa more than 80% kwasababu swala la mass failure lilikua haliangalii sura. So Albert Msando you mean lack of national consciousness in fighting corruption ni kwasababu halijagusa watu wengi ama? Mimi nafikiria tofauti wewe je?

Felister, the discussion is getting quite interesting. Lets hear others first. Will definately get back on your points.

In the meantime, my mentioning of the masses didnt mean mass demonstrations. I meant class movement.
 
Felister...status quo ya nchi ni "change and changes" ... and the change should reflect dignity among every citizen irrespective of the levels and class of living standards ... kama ni maskini akiwa anamshitaki tajiri basi apate haki yake ya kisheria na tajiri aweze kuhukumiwa in favour of the maskini with pure natural justice

kama ni mvua kutonyeesha basi misaada ya ukame ikitolewa walengwa wa njaa waipate na sio misaada hiyo iingie kwenye mifuko ya viongozi wa serikali ..... felister nimeshuhudia unga wa ngano unauzwa kwenye supermarket ya kichina(chinese supermarket) viroba vyake vimeandikwa donated by WFP (World Food Program)...duh kazi kweli kweli

Somehow confused of what you mean....but again it matters less, thanks!
 
points zinazotolewa hapa ni nzuri sana natamani zingekuwa kwenye radio au tv. zingewafikia watu wengi sana sasa hapa kwetu tanzania radio ni music tuuu kuanzaia asubuhi mpaka asubuhi na kutuma salam hivi watu wakianzaisha "radio talk kama u.k." watawazuia? kuna mawazo mengi sana yanatolewa humu lakini hayawafikii wengi(vijijini) samaani sana nimetoka nje ya mada
 
Mmh ningeamini katika hili nisingetoa mchango wa ku legeza magurudumu ya mbio za Pharaho! Lakini na perceive as if kuna anaetamani hii itokee na kuna mwingine anayeomba Mungu status quo iendelee sasa hii dilema walizo nazo hawa wawili ikatengeneza ombwe fulani hivi eti mimi najaribu kuweka daraja ili mojawapo aondoke kwenye hii dilemma; inawezekana?

Sorry!! Inaeelekea sijaelewa vizuri kuhusu "dilema" !!

Kama hutajali ...nifafanulie kwa mfano mwingine tena!!!
 
hii thread natumaini inaweza kuwa one of the best threads zinazotoa challenge ya hali halisi on the ground kataika maisha ya mtanzania kwa sasa .... ina content zenye maswali mafupi mafupi mengi lakini majibu yake yatakiwa kuwa ni marefu na yenye ukubwa wa GB nyingi sana ...kama anavyotujuza mkuu AzimioJipya kuhusu UTU WA UTAIFA..... bila ya hili kuingia kichwani kwa kila mtanzania kamwe hamasa ya mabadiliko haitakuwepo na mwisho ni yale yale ..business as usual.... jioni unajipongeza pub kupunguza na kuahirisha matatizo ya ugumu wa maisha .... imefika mahali sasa tusikubali kuahirisha matatizo ...tutatue matatizo kwa umoja wetu tukitumia utambua wetu wa utu wa utaifa

mkuu AzimoJipya ... nikisema National conciousness ni Utashi wa Kitaifa nitakuwa nimepotosha ....naomba msaada hapa wa kuipatia hii phrase maana yenye mapana na umuhimu wake katika kuleta mabadiliko ya maisha yetu
 
tupumzike kidogo ma thread ya mipasho na vijembe ya wabunge ambao wanatupotezea muda na dira jamani ... time is money
 
hii thread natumaini inaweza kuwa one of the best threads zinazotoa challenge ya hali halisi on the ground kataika maisha ya mtanzania kwa sasa .... ina content zenye maswali mafupi mafupi mengi lakini majibu yake yatakiwa kuwa ni marefu na yenye ukubwa wa GB nyingi sana ...kama anavyotujuza mkuu AzimioJipya kuhusu UTU WA UTAIFA..... bila ya hili kuingia kichwani kwa kila mtanzania kamwe hamasa ya mabadiliko haitakuwepo na mwisho ni yale yale ..business as usual.... jioni unajipongeza pub kupunguza na kuahirisha matatizo ya ugumu wa maisha .... imefika mahali sasa tusikubali kuahirisha matatizo ...tutatue matatizo kwa umoja wetu tukitumia utambua wetu wa utu wa utaifa

mkuu AzimoJipya ... nikisema National conciousness ni Utashi wa Kitaifa nitakuwa nimepotosha ....naomba msaada hapa wa kuipatia hii phrase maana yenye mapana na umuhimu wake katika kuleta mabadiliko ya maisha yetu

Mkuu LAT;

Ngoja ni chanaganue tumefikiaje ..Matamshi ya UTU WA TAIFA!
Ukitafsri neno kwa neno tungetakiwa kuuita UFAHAMU WA TIFA ...ambovyo ni sawa kabisa.

Lakini kwenye harakati za hapa nyumbani utaona msemo umekuwa very dry ..na hauleti maana ya moja kwa moja...imekaa kishule zaidi ya kimatumizi ya kijamii. Watu wetu wengi sio wasomaji wazuri...ni vema kumuwekea kitu ambacho kinampa maana hapo hapo ..kabla hajasahau...nk

Lakini kwa nini UTU

Tuanze kumtizama mtu mmoja kabla ya kulifikia Taifa.

Tunaweza kuwa na MTU mwenye UTU na MTU asiye na UTU ...hili kwenye jamii liko wazi!

Lakini MTU kutokuwa na UTU hakumfanyi asiwe na MTU

Kwa hiyo tuna watu wa aina mbili kwenye jamii Kwa ukweli kabisa na wote wana ufahamu ambao hatimaye unatengenza familia hadi taifa.

Mtu mweye utu na Mtu asiye na utu...kwa hiyo Taifa lenye tunu ya Utu au Taifa lisilo na Utu...

Ukiweka kitaalam kidogo... MTU ni ufahamu na UTU ni ufahamu ... Ni aina mbili za ufahamu, kiukweli mmoja ukiwa na mamlaka ya kuwa kiongozi wa mwingine!

Ufahamu wa utu ....ambao fisadi ameusaliti na sasa anasumbua jamii ya watu wenye utu ni utambulisho wa Mwanadamu ulimwenguni!

Ufahamu wa Mtu ...ambao ndio fisadi aliobaki nao ..baada ya kusaliti ufahamu wa utu ambao unamtofaitisha na tumbili na twiga wa manyara.

Ngombe pia ana ufahamu ... COW NATIONAL CONSCIOUSNESS ...kwa hiyo lazima kutamka wazi ni ufahamu upi tunaongelea..Baada ya fisadi kuukataa ufahamu wa utu..anabakia na ufahamu mmoja kama mnyama tu! Wanyama hawana ufahamu wa pili unao waonyesha makosa yao na kuwasuta ..nk

Utu ni tunu pekee ya ufahamu ambao hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuutumia au kuutambua....Ni utambulisho wa mwanadamu peke yake!!

Sasa tukiupinga ni ili tuwe nini? Tumbili...au myama gani? !Kuukataa utu mwanadamu aitwe mnyama?

Mimi nakataa...Kwa kuwa ufahamu wa Mnyama..hautokani na kuukana ufahamu mwingine..yaani mnyama hajafanya kosa..hadi kufikia kuupata ufahamu wake. lakini mwanadamu anayetakiwa kuitwa mnyama ..ameukana utambulisho wake kwa sababu zake binafsi (hataki kuongozwa toka ndani yake...ana yake kichwani)...ni mkosaji. Na mnyama sio mkosaji kufikia unyama wake!!

Mwanadamu akiukana ufahamu ambao ni utambilisho wake kafanya makosa..kwa hiyo hata kumuita mnyama ni kumpa sifa ya kutokuwa na Kosa.

Kwa kumuita Fisadi ni sawa.... Vema hivyo kuliko Mnyama! Na ukiangalia kwa makini thread imesimamia hapo..na vita ya Watanzania imesimamia hapo...ni vita kati ya UTU na WASALITI WA UTU!

Kwa kifupi Watanzania tunataka kujenga jamii ya waasi wa asili yetu au kuienzi kuilinda kuitetea na kuirutubisha!!

Utashi ni sawa .... Kabisa

Lakini itatupunguzia nguvu ya kuchambua na kujieleza huko mbeleni siku zenywe sikifika!!

Ni kisema JF tusimamieni utu na maadili yake ili kuendeelza mapambano kwenye mstari ulio nyooka..ninaeleweaka kuliko ningetumia neno Ufahamu au Utashi!!

Kama mkusanyiko wa Utu ukalifanya Taifa...Uchumi ukasimamia hapo, vyama vya siasa vika simamia hapo, elimu na kazi vikasimamia hapo, afya na ustawi wa jamii ukasimamia hapo, Jeshi na polisi vikasimamia hapo...niambie..Tutakuwa tumekuwa tumbili ?

Mafisadi watabidi kuihama nchi! Kwani hiyo ndio NGUVU YA UTU!! ona sijasema NGUVU YA WATU

...hata fisadi ni NGUVU YA WATU....atatuchnagaya huyu!! Lazima kuwa very spesific!
...ndio maana kinachotakiwa sasa NI MJADALA WA KITAIFA JUU YA UTU WA TAIFA...utaona kwa mbali swala la katiba linagonga hodi. Maana siunjua katiba ni maandishi kwnye karatasi ... Yanahitaji UTU wa kuyasoma na kuyatafsri.... Maandishi hayo hayo ...akapewa MTU FISADI? unajua atafanya nini na katiba hiyo hiyo!!

Ndio maana kwa hapa nyumbani umoja wetu unefanywa na neno... UTU...kama jamii ya watu wenye utu uliopevuka na kuishi kwa amani na umoja..kwani kwa namna hiyo tutakuwa hatujasaliti chochote , wala hatujafanya kosa lolote..na maana ya Taifa itapatikana...ndio maana ni kasema UTU NI UTANZANIA ..sio swala la kuwa na paspoti au kuzaliwa hapa Tanzania ...NI KUSIMAMIA UASILI WAKO MBELE YA FISADI ANAYE KUPINGA NA KUUTETEA HADI ....SI VINGINEVYO!!
 
Sorry!! Inaeelekea sijaelewa vizuri kuhusu "dilema" !!

Kama hutajali ...nifafanulie kwa mfano mwingine tena!!!

Nimechukua two school of thoughts hapa nyumbani ya watu katika mtizamo wa kushughulikia ufisadi; upande mmoja unaona tatizo na unalitambua hasa ila bahati mbaya kwao imekuwa institution tayari na wakiiondoa hiyo institution status quo lazima iondoke na life after ni very uncertain so in a dillemma kwamba acha iendelee and time will solve the problem for the sake of their competitor.

On the other hand another group wanaliona hili ni tatizo pia but to them is more than a tatizo ni opportunity of getting into where they would want to go, unfortunate hawana means ya kupush kwa haraka their wish so wanasubiri huruma fulani hivi ya public ili wao wadandie hapo pamoja na kumaliza this particular problem lakini wasi loose na hiyo opportunity ya kupata kile wanacho hitaji. So the dillema kwao is which strategy to use so they can catch two birds with one stone!

Unfortunately wote kwa pamoja determinant ni national conscioussnes ambayo so far iko frustrated waiting for a miracle which is seen no where to becoming in this very time.......Na mimi nauliza how long are they going to wait for each other kila mmoja akimtegea mwenzake wakati taifa linaendelea kuangamia why cant one group decide to speak the same language with the frustrated public? Hope have made it clearer!
 
AJ thanks for philosophizing my concept and to LAT for asking a probe question which made AJ to expound his philosophy. Thanks also for all who put aside their precious time to discuss this concept. I do hope the political parties would gain something out of this and would make use of the important views, trashing the useless! The discussion can continue lakini my time is out for this week until next time when I get un opportunity to drop some thing for discussion.......

To mwanakijiji for drawing peoples attantion when the thread was gone to the archive

Albert Msando for answering my call!

Glory be to God the almighty and to you all may your every wish be fullfilled during this week and there after!

Amina
 
Felister ..thanks for your us usual outstanding performance .... you have tried to explode the concept of national consciousness into our conscious ... i suggest we need abrupt stimulus pocket of knowledge which will accentuate the true nature of the fate of our country... do we need gunpoint democracy like...?
 
Back
Top Bottom