Nation media group, Rwandan connection...

mkuu,labda wanyarwanda ndio wasomaji wakubwa wa the east african.si utajua tena mbinu za ku target soko.
 
hata mimi av always asked myself that qstn. halafu hilo gazeti siyo truely east african kwa sababu linaelezea mambo mengi from a kenyan point of view. hata uganda wana gazeti lao linaitwa the east african business week......ni lini tanzania na sisi tutaanza kuchapisha gazeti letu kwa ajili ya market ya east africa?
 
Nnachojua hawa nation media wana magazeti ktk nchi za e.africa icpokua rwanda, na hayo magazeti yanaandka habari/interest za nchi husika sasa kubalance mambo rwanda ndo wakawekewa hako kasehemu coz ukiangalia juu kuna link za magazet yao ya tz, ug, ke...ni mawazo 2.
 

May be. Inaweza kuwa sahihi, lakini ukiendelea kusoma hiyo issue utakuta kuwa kuna watu wanalipwa na Rwanda kuandika habari zinazoficha maovu ya kagame.
 
May be. Inaweza kuwa sahihi, lakini ukiendelea kusoma hiyo issue utakuta kuwa kuna watu wanalipwa na Rwanda kuandika habari zinazoficha maovu ya kagame.

Inabidi mfunguke,dunia hii sikuhizi media ina play big role kuinua sura ya nchi na kutumiwa kuvutia uwekezaji kwahiyo nivizuri ku advatise nchi kwa kupitia magazeti/media.kigine kwanini mnapenda negative stories?kwani rwanda haina postive stories?tatizo ninaloona linatokana na msomaji,kama mtazamo wako wa rwanda uko negative hutafurahishwa na positive stories,na kumbuka hizo media zinafanya biashara kwahiyo siajabu wakilipwa na kumbuka ni EAST AFRICA Media.
 

Angalau umeongea vizuri leo. hukuleta mambo ya tunakujua wewe muhutu, sijui m FDLR,
Nimefurahi sana comment zako hazina neno Tusi, hutu, FDLR. Huo ndo utanzania. Karibu sana bongoLand
 

Kuanzia Gazeti La East African Na La The Citizen Ni Makini Sana Na Yanakwenda Na Ueledi ULIOTUKUKA na Hata Huyo Mwandishi Richard Mghamba Ni Very Competent, Analytical and Intelligent. Kizuri Chajiuza Na Kibaya........................! Halafu Ulivyo Bias Umeshindwa Hata tu Kulichambua Vizuri Gazeti Hilo Kwani Lina Special Pages Za Kila Nchi Mwanachama Wa East Africa Na Ni Gazeti La Toleo La Tarehe 7 hadi 13 La Mwezi Huu June baada Tu Ya Page Ya 32 Kuna Special Edition Ya Kumhusu Rais Wako MJOMBA Ya Kurasa Kama 8 Hivi Wanamwongelea Na Kumsifu. Je Ipo Wapi Hapo Biasness Ya Gazeti La East Africa? Hebu Tuache Kuwa Subjective Na Badala Yake Tujaribu Kuwa Objective Hasa Hasa ktk Kufanya Uchambuzi Wa Issues Otherwise Hoja Yako Isiyo na Mashiko Inaweza Kuturahisishia Kujua Uwezo Wako Wa Kufikiri Na Blanket Statements Kama Hizi Ndizo Wakati Mwingine Zinanifanya Niwe na Dharau Kwa Baadhi Humu JF. Hivi Watanzania Rwanda Imetukosea Nini? Kitu Kidogo tu Cha Kuihusu Rwanda Watu Tunakuwa Wepesi Kufanya Challenge Lakini Cha Kushangaza Tuna Mambo Yetu Humu Tanzania Ambayo Kiukweli Yanahitaji Sana Ufafanuzi Wa Critical Thinking ( TAFAKURI TUNDUIZI ) Lakini Tunayafunika AU Ndiyo Mnadhihirisha Ule Msemo Wa " K.U.N.Y.A A.N.Y.E Kuku Na A.K.I.N.Y.A Bata K.A.H.A.R.I.S.H.A ? Umeshaniharibia Siku.
 
mkuu,labda wanyarwanda ndio wasomaji wakubwa wa the east african.si utajua tena mbinu za ku target soko.

Na Watanzania Wengi Hatusomi Gazeti La East Africa Kwakuwa Tuna Tatizo La Asili La Language Barrier ( English Wito )
 
Mi ni mtanzania mkuu koba. sijui unasemaje bwa shehe.
Sijui na wewe ni mnani?

Na Kama Kweli Wewe Ni Mtanganyika Basi Una Tatizo Hili La PTSD..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tanzania kuna gazeti linaitwa the african ni baya sana nabari zake nyingi ni za kutoa mitandaoni. nafikiri sababu ni private hawawezi ingia deep kama the east african sababu ya gharama. the east african wanajitahidi sana kuipaka matope tz. wamekomalia ishu ya serengeti highway wakati serikali walisema hawana mpango wa kujenga.
 

1. Acha mapovu, eleza kwa nini Rwanda inastahili its own section hapo kwenye screen capture, wakati gazeti ni kwa ajili ya THE EAST AFRICA. Visit their website right now na ueleze sababu.

2. Kuhusu huyu mtu wenu nimeweka links hapo, ambazo ni wazi mimi sio mtu pekee mwenye matatizo na uandishi wa huyu kibaraka wenu.

3. Acha kutupangia nini cha kujadili, wewe utanzania wako ni kama uraia wa congo kwa bosco ntaganda.
 

my point exactly, habari za Rwanda kwenye THE EAST AFRICAN ni PR na sio habari objective, zimelipiwa.
 
ungekuwa reader makini wa hilo gazeti ungejua kwamba kweli liko biased na linaeleza mambo mengi from a kenyan point of view, au hata CoW siku hizi. na aliyekuwa anamsifu rais wetu ni makampuni ya tanzania kama vile BoT na kadhalika yaliyolipa hela ili kupewa nafasi hiyo. we uliona kenyya ilivyotimiza miaka hamsini kulikuwa na a whole special pullout about it lakini sisi ilitajwa tu kama by the way. election za africa kusini ndio zikapewa nafasi kubwa! ni mara nyingi gazeti hilo limekuwa likiipaka tanzania matope eti tunajikongoja kwenye masuala ya muungano na kadhalika.......usibwabwaje tu ovyoovyo au wewe employee wa nation media group au?
 

Mkuu leo umeongea kitu cha maana sana.
 

Up Yours.............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Mimi Ni Mfanyakazi Wa Kutibu Ugonjwa Wako Wa Upungufu Wa Akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…