Nathan kamfunika kipanya?

halingani na kipanya offcourse nimeuliza
Naona ni mzuri ila maandishi yamezidi. As an artist alitakiwa kutafuta namna ya kueleza kua yule mgonjwa kafa na haki yake ya kuishi imekanyagwa bila kutumia maneno...
 
Naona ni mzuri ila maandishi yamezidi. As an artist alitakiwa kutafuta namna ya kueleza kua yule mgonjwa kafa na haki yake ya kuishi imekanyagwa bila kutumia maneno...

we jamaa kwanza ni nani? umejiunga leo leo lakini unaonekana huna kamba mguuni. vipi id nyingine wameichukua wenyewe?
 
Reactions: Taz
Mimi nafikiri imewakilisha vizuri huo "muafaka" baina ya pande mbili zilizokuwa zinapingana. Cha msingi wale waliokufa ambao kwa kweli walinyang'anywa haki yao ya kuishi ndio vipi? serikali haitokaa kuwafikiria anagalu kuwalipi kifuta machozi wandugu?
 
Huyu bado mchanga hii cartoon haina ujumbe mzito haiibui maswali mazito, iko nyepesi sana. Kaburi ndo linasema haki yake ya kuishi iko wapi? bado ingeweza kuwa improved hiyo cartoon. Huwezi kumlinganisha na masoud hata kidogo/
 
Hakuna aliyemfunika mwenzake sema kila mtu ana test yake hasa anapochora katuni na ujumbe wanaouwakilisha kwenye hadhira i like what they are doing both of them..
 
Hakuna aliyemfunika mwenzake sema kila mtu ana test yake hasa anapochora katuni na ujumbe wanaouwakilisha kwenye hadhira i like what they are doing both of them..

Style tofauti..........wote wangetumia style moja, kungekuwa na possibility ya mmoja kupotezewa na wapenzi wa katuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…