Nateswa na dawa nilizopakwa na Babu yangu!!

Nateswa na dawa nilizopakwa na Babu yangu!!

故曰:知彼知己,百戰不殆;不知彼而知己,一勝一負;不知彼,不知己,每戰必殆。
So it is said that if you know your enemies and know yourself, you will not be put at risk even in a hundred battles.
If you only know yourself, but not your opponent, you may win or may lose.
If you know neither yourself nor your enemy, you will always endanger yourself.
Mkuu Bujibuji hii iko sawa haswaa

Mimi ngoja niongezee tuu kwa kusema

The closer an enemy is to you, the more intimately you will come to know their capabilities, strengths and weaknesses.
 
Nakuonea donge mkuu,utafute madem mcharuko wale,unawasokomeza mpaka lizame lote na mpaka utoe wadhungu,wakikuona lazima wakuamkie,(shamoo kaka)
 
minyege imeparamia wenzetu..ngoja pm ijazwe sasa...utafaida sana mkuu..
 
Pole sana... Kuwa na uume mdogo siyo mwisho wa kila kitu.. Jikaze tu ndiyo maisha... Yupo atakayekupenda hivyo hivyo...


Cc: mahondaw
 
Kama mtu anaomba ushaur wa tatzo lake si vzur kumsimanga kwan matatzo yetu sote iwe kwa makusud au bahat mbaya.
Kama huna ishaur pita mbali
 
Daaah pole sana ....... Najuat nikwajinsi gani maumbile makubwa yanavyo sumbua km mm mwenyewe ninayaogopa hatarii......cha msingi kuwa mvumilivu utapata mwanamke atakae endana na hayo maungo yko cha msingi niwewe kujua kuyatumiaaaa.......siyo umemkurupua huko tu unataka umtie hamjaandaana wala nn .???? Unafikiri utawahi kuKojoa au unakuta papuchi ya mwenzio nikadogo....unataka ulizamishe loote....unatakiwa unaenda taraaatiibu siku baada ya Siku unakuta keshalizoeaa......maisha mengine ya naendelea.... Ila km hutojua kumtengenezea mwanamke mazingira ya kulizoea kila Siku utakimbiwaaa[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]
 
Mpaka sasa hivi bado nina tatizo hilo

Mnyerede
 
Aliyekuloga kashakufa ndugu kwa hiyo huwezi kutibika maana kwanza huo si ugonjwa.

Cha kufanya tafuta mwanamke mwenye umbile kubwa ambalo litapokea hiyo kitu yako baaaas.
 
Back
Top Bottom