The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,424
- 12,116
Dawa gani za allergy umeandikiwa?Yaan nimeenda Hospital nimedungwa Sindano za Aleji na pia nimedungwa nyingine ya antibiotics napia kesho natakiwa tena nikadungwe.. yaan na vidonge juu .. najiuliza elfu 30 isha nitoka kisa Malafin ya elfu 2000..
Ila nashukuru Doctor kaniorodheshea dawa zote zenye sulphur akaniambia nisikae nitumie kamwe.