Nateseka mwenzenu jamani naombeni msaada wenu

Phadhiri salum

New Member
Joined
Jul 12, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wakuu, Mimi kuna demu nimemzimia anaitwa Miriam ila naogopa kumwambia asije akanipa jibu baya nikaumia. Mimi na yeye tuna hali tu fulani ya kujuana ila hatuna maongezi ya kivile hivyo inaniwiaga ngumu sana kumwambia hiki kinachonisibu moyoni mwangu.Ninachokiomba kutoka kwenu wakuu ni msaada tu nitumie njia ipi ili nifanikishe kulitoa hili la moyoni!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari zenu wakuu, Mimi kuna demu nimemzimia anaitwa Miriam ila naogopa kumwambia asije akanipa jibu baya nikaumia. Mimi na yeye tuna hali tu fulani ya kujuana ila hatuna maongezi ya kivile hivyo inaniwiaga ngumu sana kumwambia hiki kinachonisibu moyoni mwangu.Ninachokiomba kutoka kwenu wakuu ni msaada tu nitumie njia ipi ili nifanikishe kulitoa hili la moyoni!!!!
Mkuu muandikie barua.
 
Nipe namba yake nikusaidie nwanaume mwenzangu
 
Mkuu Shunie amekushauri vizuri sana, ingekuwa vyema ungefata ushauri wake, ila usisahau na outing za hapa na pale, nauli na ela za voucher. Actions talk more than words.
 
Back
Top Bottom