ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi nilijihs upweke saaana nikagundua mapenzi yanaumuhimu katika maisha yetu binaadam tatizo sijapata mwanaume ninayemhitaji yan naongea kwa kumaanisha i need true love seliosry...! plz mnipm bt niwale wenye akili timam tu mana wengine wanadhani ni utani nataka wanaume wanaojitambua tu!.... plz
pole sana kwa upweke, nimekuwa nikijiandaa kabla ya kutafuta mke,sasa nimejidhatiti kiuchumi, kwa hiyo natafuta mke seriously, Im 37 a commited christian na nina kazi nzr. Ni pm km upo serious kweli.
I'm 27 aged Male and seriously seeking for a fiance to be my wife if God wishes.
am I allowed to submit my proposal to you?........serious
Nenda pm wewe, mbona huelewi? Halafu wewe ni 27 kweli mmmh?
Ukiona pm inatoka kwa mzabzab nakushauri ipotezee, wala usiifungue lol!
Mkuu, mbona umetoa tahadhari haraka hivyo, au ndo tayari nini?!
Ukiona pm inatoka kwa mzabzab nakushauri ipotezee, wala usiifungue lol!
y u gotta do that to me...thats not fair jamani
seliosry!!?
Dada yangu, sio lazima kutumia lugha za kigeni!!