Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Wewe ndio inatakiwa umfanye akuwaze na kukutafuta siyo kulalamika lalamika tu, mapzn ni hisia mfanye ajiskie bila kukutext au kukupgia siku yake haiajwa nzr, mapenzi n ubunifu.. ustake kumlazmisha akupgie wakati hujamkonvisi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
If thats the case basi hayo sio mapenzi.
Conditional love haiwezi kumuacha mtu salama.
 
Kuna watu wana mavyura wamebakia kuwa mpira wa kona tuu kila mtu anapiga
 
Na

Najitahidi sana ananivunja moyo hanisapot mpaka nakata tamaa
Mama usidanganyike sijui fanya hivi sijui nini, mahusiano yanatakiwa yawe two ways trafic. Usipoteze muda wako kulazimisha penzi, utajikuta unakuwa mtumwa daima.
 
Mtu Wa namna hiyo dawa yake kidogo tu. Embu kuanzia kesho kama asipokutumia sms na wewe jifanye kama umejisahau, I mean piga kimya mpaka usiku uangalia itakuwaje. Na endapo kama hata tuma mkaushie tena kwa siku inayofuata kama una moyo wa chuma lakini... asipokutumia sms kwa hizo siku mbili PAMBANA NA HALI YAKO MKUU.
Sure, wakati mwingine inabidi uwe na moyo wa chuma kwa manufaa yako binafsi.
 
Pole sana...

You get disappointed because you are expecting to much from him... Stop..

Ukiona wewe ndiyo unahangaika kumtafuta na siyo yeye... Jus kwamba wewe siyo kipaumbele chake.. Kuna mahali anahangaika napo...

Try to have your pride... Usijidhalilishe hivyo... Muoneshe you are human too and you have your pride... Akipoteza nawe potezea, akijirudisha mzungushe...


Cc: mahondaw


Kweli my king.. Too much of anything is harmful.. Pole sana mai.




Mahondaw wa Smart911
 
Labda nikuulize kwanza! Je! Una maisha mazuri? I mean una kazi yako either umeajiriwa au umejiajiri? Kama upo njema bac, endelea kupigania penzi Mama, utapata solution one day. Ila kama ww ni maskini/kapuku, usijasahau sana, pigania mambo mawili, umaskini wako cha kwanza, namna ya kutoka hapo ulipo, la pili pigania na hilo penzi ambalo ni haki yako nadhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure, wakati mwingine inabidi uwe na moyo wa chuma kwa manufaa yako binafsi.

Ni kweli. Mapenzi yanatesa sana, muda mwingine ni bora kujitoa ufahamu uyachukulie kawaida ili maisha yasonge.
Ni mbaya sana kuteseka katika mapenzi huku mwenzako upande wa pili ana nenepa na wewe unateseka kwaajili yake.
 
Jamani msimbebeshe mzigo dada wa watu mara awe mbunifu mara hana chura mara sijui nini lol. Mwanaume akishakua na option zaidi ya moja ndivyo ilivyo na mbaya zaidi option B ikawa imemkuna moyo wake hata abinuke sarakasi yy atabaki kuwa kipoozeo tuu. Na mbaya zaidi ameshajua unamzimikia best utaula wa chuya. Hivi mbona wadada wengine mnapenda kuteseka mioyo? Ukishaona dalili kama hyo sepa mapema ww kabla hajasepa yy usipate maumivu makubwa. Najua unajiuliza utampata wapi mwingine but yupo ambaye atakupenda mpk utaona tena kero hizo simu sijui msg n.k kwa sbb atakua ni wako huyo ulienae kwa sasa sio wako achana na kujistress.
Mambo ya mapenzi bhana hayana fomula,huyu anayelalamika anaweza kumpata anayemfanyia hayo lakini na yeye akawa ana kiburi na kumtupilia mbali.Tukubali tukatae changamoto za kimahusiano haxiepukiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Mapenzi yanatesa sana, muda mwingine ni bora kujitoa ufahamu uyachukulie kawaida ili maisha yasonge.
Ni mbaya sana kuteseka katika mapenzi huku mwenzako upande wa pili ana nenepa na wewe unateseka kwaajili yake.
Kwakweli, bora ufanye mengine ya msingi, japo nalo ni hitaji muhimu ila kama linakutesa tu bora ulipuuzie.
 
Moyo nataman hata niubadilishe na moyo wa kuku
Ninampenz simuelew jmn Mimi moyo wangu unauma sana....anaweza amka asubuh hata msg ya umeamkaje hamna... Atakaa siku nzima hata cm hamna mpaka Mimi nianze kumsalimia
Nikimuuliza kulikon anadai yupo busy anakazi nyingi
Jmn uko busy hata cm haushiki inamaana hauli? hauend choon
Wapenz jamaa nampenda sana nataman kujitoa kwake lkn najaribu akinipigia tu cm maamuz yanayeyuka
Kwel ananinyanyasa kihisia sana bad enough yeye hajal


Yaani unapima mapenzi kwa sms na kupigiwa simu?
 
OK

Sipend nijulikane ila ww inabidi tu nikutumie picha tangu tu unifaham maana leo Mara ya 3 unanituhum hiki kitu..na kupm picha yangu
Maiii na mimi ntumie nakala pls maana kuna mtu ananileteaga mapicha sometimes kama huyo wako anavyokufanyia, nataka nimtibu kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom