hahaha siku wanajifariji na msemo wao " Si kila uhusiano lazima uishie kwenye ndoa" tena bila shaka huu msemo umeletwa na wanaume kuwatia ujinga dada zetu, ukweli ni kuwa si kila mwanaume unaekuwa nae ktk mahusiano ni lazima auchezee utupu wako,wadada wajifunze kusema hapana.Inaitwa funua kata funika,Hamna kitu hapo. Na kama Ndio alimletea nyodo mpaka akakupata,since when he fuc.k her that's the end of the story. no love,no more.
Ndio atajua kuwa haitajiki. . Kuforce mahusiano sio nzuri, unapoteza muda wako piaLaaa ulaaah hatakaa apigiwe....na akikaa mwezi ndio nitokee
Pole sana, njoo kwangu hutajutia.Na
Najitahidi sana ananivunja moyo hanisapot mpaka nakata tamaa
Wachache sana watakuelewa kwa hili uliloliandika..hiyo kitu inaitwa LAW OF ATTRACTIONSaikolojia ya mwanadam haijawahi kubadilikaa,
Mwanadam huwa anathamin sana vitu ambavyo hana, na husahau kabisa vitu alivyonavyo au kwa lugha nyingine havithamin.
Tuje kwenye mada, tatzo lako kubwa, ulishampa uhakika kuwa upo pale kwa ajil yake na umeshafunga jalada la uchaguz katika mapenz, hiko kitu kina faida na hasara zake.
moja ya hasara ya jambo hilo, ni kwamba mwanaume anakuwa anachukulia tayari ameshakuteka, kwahyo haoni sababu ya kuhangaika kuku impress, unakuta anahangaika na wanawake wengine ambao hta umewazid uzur na kila kitu.
Chakufanya, husionyeshe kama umefiiika kwake, yan anza ku act expensive, sio kila mda anaokuhitaj we unapatikana, sio kila akipiga sim we unapokea... unaipotezea sim hlf baaadae ndo unamchek, na samahan kibao, ukiwa unachat nae, we ndo uwe wakwanza kuaga...
Fanya hayo aisee.... na mahusiano yako yatazaliwa upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tu hapana,maana mwingine unamuona this person deserve me. Akizingua basi move on na sio kulia lia ovyo wadadahahaha siku wanajifariji na msemo wao " Si kila uhusiano lazima uishie kwenye ndoa" tena bila shaka huu msemo umeletwa na wanaume kuwatia ujinga dada zetu, ukweli ni kuwa si kila mwanaume unaekuwa nae ktk mahusiano ni lazima auchezee utupu wako,wadada wajifunze kusema hapana.
Jaribu kujua nini anapenda umfanyie
kama anapenda "jicho" ampe???mkuu acha utaniiNawe kuna siku yatakukuta tuuu!!Ulizaliwa nae???
Mkuu una uelewa mkubwa sana.Wachache sana watakuelewa kwa hili uliloliandika..hiyo kitu inaitwa LAW OF ATTRACTION
Shemeji zawadi ya vumbi la kongo nililokutumia kwa ajili ya kumkomesha Evelyn limekufikia mkuu?Mkuu BAK heshima kwako.
Naomba kumdediketia bi maimatha kibao cha Luther Vandross - Buy Me a Rose
Sent using Jamii Forums mobile app



Yes maam..Everyone is busy,buy it depends with the position you are in someone's life to give you a priority..and chances
Vibaya hivyo,kumbe ndo maana hutaki kunijibu pm zanguAiseee nshasahau hizi shida ndogondogo....mamii kuwa single kwa muda flan kwanza...

Nakupendaje ukhty tena FissabillahUlimfungulia kufuli (kama mnatumia siku hizi) kabla ya ndoa. Uliyataka mwenyewe.