Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,702
mwizi mwizi mwizi, umedownload bure halafu unataka kuuzia watu 50,000? kwanza hata unavyoelezea unaonekana kabisa huna utaalamu wowote. Tumia huu muda kujifunza mambo ya mbele zaidi uongeze ujuzi na sio unaanza utapeli mapema hii. Kwanza sijakuelewa,unasema unatengeneza windows 8 kwani imeharibika au unatengeneza from scratch ya kwako mwenyewe(utakuwa wa pili duniani)?
Labda nikupe tu idea kama una muda wa ziada jaribu kutengeneza software za kutumika kwenye hiyo windows 8 tumuuzie Microsoft unaweza kutoka na kupeperusha bendera ya Tanzania kuliko kuja kuwaibia masikini wenzako, na next time kapost kwenye magroup yenu facebook sio hapa kwa great thinkers.