Huyu mleta uzi huu hanala msingi alilolileta hapa ..nimereview coment zake...ni kama mtu ambaye analeta jokes......hayuko serious na anachokifanya....hapa..
wala usijari najua ulikuwa unanitania tu ila kuhusu xp inategemea na kompyuta yake ili yo kama uwezo wake mdogo katika random access unit au control poccesing unit hata kwenye mass storage hd nitaweza vp kumwekea windows7 itabidi atumie iyo iyo xp anaweza kufanya vitu kama typing ,priting, et c
pa mzee nipe iyo kazi mimi namba zangu ni 0652 474748hujaelewa swali amekwambia hivi unaweza kufanya iyo windo serve insallation?
kama unaweza akupe dili la kufanya kwa pc hizo sita .
ila akakuuliza jee Wewe ni Microsoft authorized
reseller/partner ? cuz kuuza hizo copy za windo kama siyo microsoft authorized reseller/partiner ni ilegal work.
sasa basi nimeamini umeshindwa kuelewa swali dogo tu katika kimombo. na installation ya windows ni full kimombo. hivyo unanithibitishia kuwa unafanya installation kwa kukariri kama ulivyokaririshwa ndo maana unaona ni kazi ngumu sana.
ahaaaa we mkali mimi mkuu nafanya kazi zangu kitaa tu sitaki mtu aniajiri na nawapigia watu kwa bei powa sana sana na wala sio partner wa micro soft mkuu nisine kufungwa si unamjua bill gates kwenye biashara zake ataki mchezo kabisa ndio maana kila mwaka tajiri yeye tu
wala usijari najua ulikuwa unanitania tu ila kuhusu xp inategemea na kompyuta yake ili yo kama uwezo wake mdogo katika random access unit au control poccesing unit hata kwenye mass storage hd nitaweza vp kumwekea windows7 itabidi atumie iyo iyo xp anaweza kufanya vitu kama typing ,priting, et c
mimi nilijifunza nilipokuwa haiti mwaka jana kule nchi masikini sana ila wamekuwa na elimu sana sana watoto wadogo sana wanafanya hay mambo ,mimi nina uwakika wewe nikikupa utoweza kuingiza iyo windows8 na ikakaa hata wiki moja tu bila mashine kuwa nzito
mteja anajari mazi zaidi lugha aina maana kwake ili mradi umtukani tuKabla ya kujifunza Computer ungejifunza Kiswahili na kiingereza kwanza angalau ujue namna ya kuwasiliana na wateja wako;
nisine= nisije
micro soft= Microsoft
bill gates= Bill Gates
usijari= usijali
poccesing= processing
priting= printing
haiti= Haiti
uwakika= uhakika
utoweza= hutoweza
hay= haya
Nina wasiwasi na uraia wako.mteja anajari mazi zaidi lugha aina maana kwake ili mradi umtukani tu
mwarabu mimi toka iraqNina wasiwasi na uraia wako.
pa mzee nipe iyo kazi mimi namba zangu ni 0652 474748
ok safi sana mambo ndio kama hayo kueleweshana na sio matusi ila mzee nipo makini sana na comentsoma vizuri comment yangu utagundua mm nilikuwa nakukosoa na sio mm ndo mwenye hiyo kazi. haupo makini na kusoma coments
soma cimments za nyuma kidogo utamkuta huyo mtu wa kukupa hiyo dili.
kwani umekuwa mzito hivi au umepoteza kumbukumbu au windows ipi iyo unayotaka au windows ya kufunga windowmkuu uko wapi? nataka unifanyie windows. unafanyia sh.ngapi?
we unachekesha sana uyo mtoto wako kama anafanya windows bc itakuwa xp nawewe umezidi sana unajua windows7 mimi najua windows 8 nauyo mwanao hata wewe hata utambie uwezi kupiga windows8
teh! Teh! Kwi! Kwi! Mzee wa shamba vp shamba lako aliuzwi naona lina mazao ila kama umelitelekeza vile nipe mimi bcUnatengeneza Windows 8 eeh? haya bana.
hapana mkuu katika hali ya kuelekezana ila mtu ukubali kama ujui ,kibaya zaidi ujui alafu mbishi hii inaleta ugojwa wa ubumbula, kwani dalili za ugojwa wa ubumbula ni ubishiama kweli hawa ma graduate wakihitimu chuo wanafikiri kila mtu ni mbulula...
sana sana hii ndio jf mkuuduh inafurahisha sana
teh! Teh! Kwi! Kwi! Mzee wa shamba vp shamba lako aliuzwi naona lina mazao ila kama umelitelekeza vile nipe mimi bc