tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
- Thread starter
- #21
sasa hayo maswali ya kitoto mzee tusianze kunufaisha watu wenye kujua kutupita wanatushangaa kuhulizana maswali tulale mkuu la msingi tutafutane tutengeneze program yetu nasi tuwe kama jf ilo ndio la msingi kama tu ajua kweli nipo tayali kukupa namba yanguNajua hayo ni mambo madogo sana, cha ajabu ww unahisi kuwa ni bonge la kazi, km unajua mashine nambie maana ya system bits?