Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,419
Habari!
Wanajamii jf, najishughulisha na utengeneza wa vitambulisho kwa mf wanafunzi ama wafanyakazi ktk mfumo wa smart card IDs kwa ajili ya watu na taasisi mbali mbali, mashule, vyuo na mashirika tofauti tofauti!
Mwanajamii yeyote nakukaribisha "unipe dili na mimi nikupe dili", kwa atakaenipa kazi, ya kutengeneza hizi smart card IDs za ofisi yao, mazungumzo ya wazi juu ya commission yake, hata wale wazee wa 10% pia niko tayari kufanya nao kazi, la muhimu na kuzingatia ni kuwa tutalipana baada ya ofisi yako kunilipa!
Natengeneza vitambulisho hivo katika idadi yoyote ya wateja, kwa watu <500, vitambulisho vitakuwa tayari masaa 48 baada ya kuchukua picha na sahihi za wahusika!
Napatikana Magomeni, Dsm.
Nipe dili, nikupe dili