SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,947
- 2,032
mkuu kamilisha hiiyo project kwanza,ukimaliza mtafute kikeke katika kpind cha dira ya dunia kinachorushwa usiku kwenye tv ukionekana hapo bas umeula weka utafit wako mbal na tbccm kwan wan'goa kucha wengi wanaitazama hiyo chanel.