Natengeneza business software kulingana na biashara husika

Natengeneza business software kulingana na biashara husika

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
natengeneza business solutions kulingana na biashara husika, iwe ni hotel,shule,asasi ya kiserikali au binafsi na nyingine nyingi.
 
natengeneza business solutions kulingana na biashara husika, iwe ni hotel,shule,asasi ya kiserikali au binafsi na nyingine nyingi.

weka maelezo zaidi. unatumia platform gani? ni mtaalamu wa software gani?
 
Mkuu,
Hebu jibu swali la Paje kwanza.

Ushauri: Jina lako halivutii mtu kukutafuta maana focus yako ni tumbo lako na si kuhakikisha kuwa mteja wako not only is he satisfied but he is delighted as well. Think about it
 
Back
Top Bottom