Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
- Thread starter
- #21
Mawazo yako ww kama yangu.
Tulifanyie vizuri home work hili swala kiongozi
Mawazo yako ww kama yangu.
Muulize Joseph Mbilinyi ndio anajua vizuri maana ya single father na jinsi ya kudeal na single mother.
Mungu akubariki sanaMimi ni single father ambaye sikuwa plan lakini nilijikuta single father. Napoandika hii comment niko hospital katikati ya jopo la wanawake wengi wababa tuko wachache tumewaleta watoto kwa daktari wa watoto. I am enjoying it kumlea binti yangu.
Kuhusu mama yake we are in good terms maana alinipa mtoto mwenyewe na uwa tunawasiliana kuhusu habari za mtoto.
Ishi maisha yako mkuuUnanishawisha niwe Kama wee ila naogopa jamii itanichukuliaje
Yeah,tatizo jamiiUnanishawisha niwe Kama wee ila naogopa jamii itanichukuliaje