Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,720 May 29, 2019 #81 Mr pianoman said: Hii sana sana nimejifunzia kanisani mkuu na mtaani kwa kifupi ni utundu wako tu. Click to expand... Aisee
Mr pianoman said: Hii sana sana nimejifunzia kanisani mkuu na mtaani kwa kifupi ni utundu wako tu. Click to expand... Aisee
KAJOBO JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 409 Reaction score 355 Nov 25, 2019 Thread starter #82 Kesho ndo naingia moro wakuu Naenda moja kwa moja mpaka sehem inayoitwa Mbingu nikalime Mpunga
2 2011 Senior Member Joined Dec 6, 2022 Posts 170 Reaction score 149 Apr 3, 2023 #83 KAJOBO said: Kesho ndo naingia moro wakuu Naenda moja kwa moja mpaka sehem inayoitwa Mbingu nikalime Mpunga Click to expand... Ulifanikiwa kufika ndugu unipe ABC za hapo mbingu nami nijisogeze
KAJOBO said: Kesho ndo naingia moro wakuu Naenda moja kwa moja mpaka sehem inayoitwa Mbingu nikalime Mpunga Click to expand... Ulifanikiwa kufika ndugu unipe ABC za hapo mbingu nami nijisogeze