Natangaza rasmi...

Namkataa shetani na nguvu zake zote na anasa zake zote na wafuasi wake wote. Wewe zzk na jamaa zake walioleta hii mada nawakataa. Mshindwe. Halafu mleta mada umevurugwa, zzk bado yuko cdm.
 

Siombi wawafukuze, nawaomba wawavue tu hayo magamba yao kama wataweza. Kazi ya Nape ni kelele, Oh! Waziri nanihii ni mzoga tu, na nanihii ni mzigo tu na nanihii ni mzinga tuu. Jaribuni hata kuwawajibisha huo mzigo wenu tuone kama hilo lichama halijazamia mikononi mwenu.
CDM tumejaribu, Tumeweza, Tunasonga mbele. CDM ni Taasisi siyo mtu. Hakuna zaidi ya CDM kwani bila CDM huna umaarufu wowote.
Tumeuonesha ulimwengu kuwa, ukileta mchezo, Ng'oa TUPA KELEEE. Magamba pokeeni atawafaa sana kwa Propaganda huyo ZZK
 
Reactions: prs
Dawa ishapulizwa. Tutaona mende wengi tu wakijitokeza kujaribu kunusuru maisha yao
 

Udhani ila hujui ukweli wa unachokisema...
 
Mimi binafsi simtofautishi sana na Mwingulu huyu bwana anayeona ufahari eti kututangazia anajitoa chadema,kwani ulikuwa na mchango gani wewe kwenye chadema au ulifikiri utalambwa miguu ubaki.Hebu sepa zako haraka.Chadema sio mara ya kwanza kufanya maamuzi magumu,kama huamini nenda Arusha kaulize utahabarishwa.

Chama hiki kaamwe hakitatetereka na badala yake kinaimarika na watu wasiohitaji miwani kuona chama hiki kinaelekea wapi wanajiunga kila wakati.Huyo Zitto nimefurahishwa sana kupukutishwa vyeo alivyokuwa navyo na sasa abigwe chini uanachama na uchaguzi utangazwe alafu yeye agombee jimbo hilo analolishikilia sasa kupitia magamba na cdm tusimamishe mtu mwingine alafu uone tutakavyompoteza.

Akienda ccm huyo Zitto anaenda kuwa red carpt,kuna magamba waliofanya mambo makubwa ktk chama chao na wala hawaonekani,sembuse Zitto?

Mmmmmh.........................
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 

U so late
Kono munio nyookwe
 
MSAADA MWENYE MASHINE NZURI ANIANGALIZIE REKODI YA HUYU PIMBI ANAEJIITA Mnyiramba HAPA JF.kajiunga lini,post zake na kila kitu.isije ikawa tunasumbuliwa na mbulula fulani tu hapa.HIVI WAKATI UNAJIUNGA CDM ULITUTANGAZIA HUMU? Mambo mengine ya kipuuzi kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu anakuaga akisema anaenda kujiua,ujue huyo hana mpango wa kufa,wanaojiua huwa hawaagi
unashtukia wameishajimaliza,sasa wewe mnyiramba mbunge wako mwigulu,ulikuwa unatafuta nini cdm?
kama siyo ninyi mnaosababisha migogoro! hata hivyo hujatuambia unaamia wapi ili kesho ukihama tena tukusute.
Wasira alihama ccm akahamia nccr,na baadaye akarudi ccm,ugekuwa mshabiki wake
ungebaki kwenye mataa.Nawashauri wanachama wa vyama vyote hivi ''jiunge na chama kwa kuvutwa na sera zake usivutiwe na mtu,binadamu ni maua leo yupo kesho hayupo" lakini sera za chama haziyumbishwi na upepo kama yalivyo mawazo ya mtu mmoja mmoja.
 

Wewe unayejiita Dr. ,tambua kwamba Jf ni kwa ajili ya Watanzania,nashindwa kuelewa ukijua mm nimejiunga lini ili upate nini,Kwa taarifa ni kwamba nilianza kuitumia Jf kabla hujanunua simu yako ya kwanza ya kichina inayokuwezesha ku post zako za 丿参加我在 hapa.
 
Last edited by a moderator:

Safi sana Mkuu
 


uamuzi wa busara, hongera ndugu Mnyiramba
 
...kwa element za ukabila hufai kuwepo chadema maana agenda yenu ya ukabila haikufanikiwa...

Mkuu Gefu,
Bado upo nyuma sana kifikira,hata ukaruhusu tuwi lako kufikiri juu ya ukabila,mtu mwenye akili timamu hafikiri juu ya hoja ya ukabila au ni walewale wanaojiita kina Dr. Emma John humu jukwaani!
 
Mnatapa tapa kwa kupeana moyo!!! Kwahili la ZzK kuoigwa stop only bcoz anahitaj sasa kuwa mwenyekt wa chama hiiii n anguko kubwa la kisiasa, subrin matokeo yake achen kuroopoka huku
 
Hakuna aliyesema kwamba Chadema ni chama ambacho si thabiti,ila kinachoendelea sasa ndani ya chama Watanzania wengi hawajui,viongozi wa chadema wameshalishwa unga wa ndere na CCM,upofu umewakumba,Ziko wapi hoja zenye mashiko za Zitto bungeni?,huyu Mtolewa amewekwa katika kundi la wazee na Bi. Kirembwe......,taratibu anasahau masilahi ya wari waliomtuma Giningi.
 


uamuzi wa busara, hongera ndugu Mnyiramba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…