KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 231
who are you by the way?
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeja kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.
Ndugu wanajf na Watanzania wote,natangaza rasmi kukihama chama cha Demokrasia na maendeleo kutokana na mwenendo wake mzima katika chama.Kama wanachama wenyewe hawapatani ndani ya chama,watawezeje kutengeneza muungano wa kidemokrasia utakaolenga kulikomboa Taifa!,Hivyo kwa moyo wa dhati kabisa mimi Msingida,nakihama chama hichi Rasmi leo.Asanteni kwa kusoma uzi huu.

Kweli kula yako au kura ndugu ?rekebisha iyo ..,Mimi ni mpiga kura,nimefanya hivyo kwa kutambua thamani ya kula yangu.
Mimi ni mpiga kura,nimefanya hivyo kwa kutambua thamani ya kura yangu.
mkubwa leo unanifurahisha saaaaaana kula tano mwana,leo namwaga like tu,maana nilichoka na vurugu za PM7Shwain mkubwa mnyiramba.