Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

Baada ya posti 462 JF, Zubeda leo kajisahau kuwa yeye huwa anachezaga tamthilia humu kuwa ye ni jike, kumbe we ni dume bana aaaagh! au umem quote mtu? Haya jitetee
 
yani unataka kuzaa na mke wa kaka yangu. jaribu! omba msamaha kabla ya saa moja kamili kesho. ucpofanya hivyo chagua adhabu kati ya zifuatazo. kushushwa shipa, kupotelewa kabisa na izo zinazokupa kiburi, kufanywa uwe na tamaa ya kukameruniwa, kukameruniwa, kufanywa uwe unatamani kuvaa nguo za kike, kutembea uchi.

duuh mkuu hizi adhabu ataweza kweli?
 
yani unataka kuzaa na mke wa kaka yangu. jaribu! omba msamaha kabla ya saa moja kamili kesho. ucpofanya hivyo chagua adhabu kati ya zifuatazo. kushushwa shipa, kupotelewa kabisa na izo zinazokupa kiburi, kufanywa uwe na tamaa ya kukameruniwa, kukameruniwa, kufanywa uwe unatamani kuvaa nguo za kike, kutembea uchi.

mkuu hizi adhabu ni bora upigwe shaba ufariki tu ijulikane moja daah...hata North korea hawana adhabu hizi..mwe!
 
ila kuna mademu malaya angalia uyu kaolewa na anataka fimbo ya shemejiye! akiachika anakuja jf kuomba ushauri, ila atakachofanya ni kubadili maada 2 kidogo!
 
Nilikuwa sijui kama hujui kuwa amebabuka ati.Endereaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii heading umeikosea. Ilibidi uandike kuwa unatangaza rasmi kutiana na mke wa jirani bila condom.
 
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.

huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima Charger YA pini ndogo yupo na KANGA MOJA.nabeba lawama

Good lucky boy! Lakini Kanga pande moja tu unakosa uzalendo?
 
Tangaza ukipata na virusi vya UKIMWI! Kifupi unapenda sifa za kijinga
 
Kama ana miwaya shauri yako. Suppose aje mzee jirani aseme kuwa alizaa na mama yako wakati ukijua kuwa baba yako ni huyo unayemwita baba? Ni kama unajisifia upumbavu. Suppose mwenye mali akakugundua na kuamua kukupiga tigo? Think twice maana ukioa lazima utalipwa tu.
 
Usitudanganye!!!! huyo ni mzinzi mwenzio...Iweje uanze na plan ya kuzaa from no where. Inaashiria ulishaanza zamani sasa unajaribu tu kutuonesha kwamba huyo mama ndo anakushobokea....Jipange upya ila ujue za mwizi ni 40!!! Haya!
 
Baada ya posti 462 JF, Zubeda leo kajisahau kuwa yeye huwa anachezaga tamthilia humu kuwa ye ni jike, kumbe we ni dume bana aaaagh! au umem quote mtu? Haya jitetee

Acha ushababi,mi ni kidume kama mlifkr zubeda ni mkike mmekosea sana.Cjawah kuigiza Mimi mkike,
 
Usitudanganye!!!! huyo ni mzinzi mwenzio...Iweje uanze na plan ya kuzaa from no where. Inaashiria ulishaanza zamani sasa unajaribu tu kutuonesha kwamba huyo mama ndo anakushobokea....Jipange upya ila ujue za mwizi ni 40!!! Haya!

Uhuru wa kuongea
 
Kama ana miwaya shauri yako. Suppose aje mzee jirani aseme kuwa alizaa na mama yako wakati ukijua kuwa baba yako ni huyo unayemwita baba? Ni kama unajisifia upumbavu. Suppose mwenye mali akakugundua na kuamua kukupiga tigo? Think twice maana ukioa lazima utalipwa tu.

Ushawah kuona wapi vita vikipgwa mmja anakaa chini,,hata wewe usingenigusa kwa taarifa,
 
Back
Top Bottom