Natangaza rasmi kuzaa na mke wa jirani yangu...vituko vimezidi.

A%20S%20465.gif
kumbe wewe ni me?
A%20S%20465.gif



hahaaaa nimeipenda hiii...! kajisahau huyooo kwwekwe kwekwikweiiiiiiii
 
Hivi nyie Mnaetoa comment za kipuuzi,ungekuwa ungefanya nini...huyo Mume wake aongei chochote kwa Mke wake,Mke ndo kidume,Anatoka kwake Anakuja kwangu anakuja kupga stori anasema kwake Panaboa,wakati huo ndo kavaa kanga tu,
Haishi kuhama kochi moja kwenda lingine,
Huwa Anasema ipo siku atanivamia nikiwa bafuni,ataingia na ndo Yake then nikimtoa baruti atapiga kelele nilitaka kumbaka,
Nikirudi tu huwa napewa msosi huwa Nakula kidume nanjaa nikatae chakula hapana,
Vituko ni vingi,Mwanamke anamwita mme wake Zuzu jamaa anacheka tu.
Anakuja kubadilishia nguo sebulen kwangu,
Acheni nyie Mwanamke akitaka kukupa matatizo anakupa tu,
Ukweli ni kuwa huyu Mdada Ni Mzuri tena sana,Na mambo anayonifanyia cpati picha kuwa kumbe kuna SIRI za namna hi nyingi,
 
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.

huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima Charger YA pini ndogo yupo na KANGA MOJA.nabeba lawama

wewe! angalia jamaa asije akazaa na wewe! kwani kama huyo mwanamke akija na kanga moja maana yake anataka kuzaa na wewe? chunga sana!!
 
Mimi cjajisahau cjawah 2ma post humu nikiwa kama mkike mwenye ushahd atoe.
Olwz huwa nasema KUISHI KWA KU KARIRI NI TABU SANA.

Ni kweli Zubeda_mchuzi, siyo kila king'aachö ni dhahabu. Lakini nakushauri huyo achana naye, usimpe nafasi mdharau tu. Kwani kuitwa la kibisa ndo kweli? Wewe kama umeoa na watoto unao wasiwasi wa nini? Ama bado bachela? huna mke? Hata hyo bado sikushauri utembee naye kwa vile mke wa mtu sumu, hatuna hela kukupeleka india. Isitoshe anaonekana hana busara wala nia njema nawe, kwa nini akutafute kwa kila sabau? Ama ndo tuseme huyo mme wake ndo la kibisa, hawezi kumpa vitu?. Wewe jifanye kidume rijali unase, u never know bwn. Take care!
 
He he he jf is full of vituko....aisee kwanza badili hilo jina....kama unataka we kula tu ila si unajua ipo cku wako pia atakuja kuliwa?
 
angalia badala ya kufikiri unakula ukaja liwa wewe mpa ukafanana na hiyo avatar yako!!!!!
 
Aku midude mingine bwana aibu tupu kumbe ni dume??Nina waso wasi ana tabia za ku-kameruniwa huyu sasa anatafuta sifa tumuone kuwa pia ni kidume.
 
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.

huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima Charger YA pini ndogo yupo na KANGA MOJA.nabeba lawama


K mbili zikikutana zinaweza kutoa kiumbe kweli?
 
Kwahiyo unatueleza ili iweje?
Grow up.
Thanka you mdada....nilitaka nimuambie the same.....hili jukwaa MMU watu wanakuja an thread za ajabu ajabu sana ambazo hazina mafundisho kwa jamii.....tubadilike
 
Ukija kufanyiwa hvyo na wewe usilalamike wala kurusha ngumi.
 
Back
Top Bottom