Natangaza rasmi kujiunga na CCM

Natangaza rasmi kujiunga na CCM

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,992
Reaction score
12,036
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
 
Umechelewa sana kujiunga na hapa unapojiungia sio mahala sahihi kwa kuwa ungeweza kusave muda na wakati kwa kwenda kwenye tawi lolote la CCM lililo karbu nawe
 
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Ukiamka wahi kwa daktari upimwe akili si mzima wewe
 
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.

Nikiangalia saa ambayo umetuma posti hii naweza kusema tu kwamba pengine unaota ndoto ya kuoteshwa. Kama wewe ni kijana mwenye akili Tanzania hii halafu bado unashabikia ccm hadi leo utakuwa na tatizo fulani. Na nyie ndio mnaozuia maendeleo ya nchi hii bila hata kujua
 
Huyu naye sijui ni Msukule wa GWAJIMA ...?? Eti CCM ndiyo chama chenye dira ya kuikomboa Tanzania. Yaan upopompo mwingine ni bora uwe chizi watu wakusamehe bure.. Watu wako busy kuikomboa Tanzania kutoka kwa Mafisadi MaCCM ambayo imetukalisha kwenye umaskini kwa miaka zaidi ya 50 tangu.. hili jamaa liko busy kutafuta kadi ya ccm

Duh!!.. ndiyo maana Wazungu waliweza kuligawa bara la Afrika na wakagawana kama shamba lisilokuwa na mwenyewe.. Jitu kama hili halina tofauti na watu wa kale.,
 
Aiseee!!!

Njia ya upotevuni ni pana lakini ile ya wokovu ni nyembamba mno...
 
Nikiangalia saa ambayo umetuma posti hii naweza kusema tu kwamba pengine unaota ndoto ya kuoteshwa. Kama wewe ni kijana mwenye akili Tanzania hii halafu bado unashabikia ccm hadi leo utakuwa na tatizo fulani. Na nyie ndio mnaozuia maendeleo ya nchi hii bila hata kujua

Kwa hiyo mkuu ili nisiwe na Hilo tatizo nishabikie chama gani labda
 
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Afadhali punguani mmoja kajua wodi Iko wapi, upinzani is better off without you
 
Hayo nimaamuzi yako na hakuna mtu yeyote anae weza kukuzuia,Waone vingozi wa ccm walio karibu nawe watakupatia,
 
10151752_868149856580832_1474418894735415152_n.jpg

Karibu N,yandikwa mimi nafasi yangu kwenye FUTUHI nacheza nafasi nyingi mojawapo ni kama hii....
Je mwenzetu wewe ni maarufu kwenye nafasi ipi?
 
Hiki ndio kipindi cha kula hela za CCM.
 
Mbona umechelewa??? Ungeenda kujiunga moja kwa moja sioni sababu ya wewe kuileta hii mada hapa.
 
tungekudirect kwa Juliana Shonza akuelekeze, tatizo huko SISIEM hana cheo chochote so hawezi kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
Huyu naye sijui ni Msukule wa GWAJIMA ...?? Eti CCM ndiyo chama chenye dira ya kuikomboa Tanzania. Yaan upopompo mwingine ni bora uwe chizi watu wakusamehe bure.. Watu wako busy kuikomboa Tanzania kutoka kwa Mafisadi MaCCM ambayo imetukalisha kwenye umaskini kwa miaka zaidi ya 50 tangu.. hili jamaa liko busy kutafuta kadi ya ccm

Duh!!.. ndiyo maana Wazungu waliweza kuligawa bara la Afrika na wakagawana kama shamba lisilokuwa na mwenyewe.. Jitu kama hili halina tofauti na watu wa kale.,

Hahaa bora mi pompopo kuliko we unaeamini kwamba hicho chama chako kitakuja kukukomboa,fanya kazi acha uvivu.Na mtangoja sana CCM haikamatiki
 
Ujinga na Upu--------vu wa watz walio wengi ndo mtaji wa CCM!!!
 
Umechelewa mgao wa escrow mkuu
Labda za uchaguzi zitakufikia
 
Back
Top Bottom