Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,355
Aiseee!!!
Njia ya upotevuni ni pana lakini ile ya wokovu ni nyembamba mno...
Hiri ri jamaa ni CCM kitambo rinajaribu tu kupima.
Aiseee!!!
Njia ya upotevuni ni pana lakini ile ya wokovu ni nyembamba mno...
Huyu naye sijui ni Msukule wa GWAJIMA ...?? Eti CCM ndiyo chama chenye dira ya kuikomboa Tanzania. Yaan upopompo mwingine ni bora uwe chizi watu wakusamehe bure.. Watu wako busy kuikomboa Tanzania kutoka kwa Mafisadi MaCCM ambayo imetukalisha kwenye umaskini kwa miaka zaidi ya 50 tangu.. hili jamaa liko busy kutafuta kadi ya ccm
Duh!!.. ndiyo maana Wazungu waliweza kuligawa bara la Afrika na wakagawana kama shamba lisilokuwa na mwenyewe.. Jitu kama hili halina tofauti na watu wa kale.,
Hahaa bora mi pompopo kuliko we unaeamini kwamba hicho chama chako kitakuja kukukomboa,fanya kazi acha uvivu.Na mtangoja sana CCM haikamatiki
Aliyetaja chama kingine nani.. we fa.la. kweli.. sasa isipokamatika huku barabara mbovu, maji hakuna elimu inashuka, afya ndiyo usiseme wanawakomoa wapinzani au wananchi..!?
Ni taahira ndiyo anaweza kusema hayo unayoyasema
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Endelea kujifariji sisiem twasonga mbele utatukana wee mwisho wa siku CCM ndo inakuongoza,jitambue kijana hao unaodhani watakukomboa hakuna kitu. Mwenye akili tu ndo anaelewa nini nasema.
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
Sasa nawewe ngoja wakutukane, si ungesema tu umejiunga na CCM basi, hayo yakusema ndo chama chenye dira ya kuwakomboa watanzania ndo umejinyea kabisa. CCM ikomboe mtanzania kutoka wapi. Ni sawa na kujiunga na shetani sababu shetani atawakomboa watu waache dhambi.
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
WanaUVCCM nikaribisheni na mnielekeze wapi nikachukue kadi yangu. Naona hicho ndo chama chenye DIRA ya kweli kuikomboa Tanzania CCM nikaribisheni na mniambie wapi napata official membership.
IZINGATIWE: Sikuwa na chama,Haya ni maamuzi yangu,na nimeamua kuweka hadharani.
![]()
Karibu N,yandikwa mimi nafasi yangu kwenye FUTUHI nacheza nafasi nyingi mojawapo ni kama hii....
Je mwenzetu wewe ni maarufu kwenye nafasi ipi?
Mi mzima siumwi mkuu labda wewe ambae hujaielewa subject matter I suspect umesahau nimeandika nini