Natangaza rasmi kuitambua PhD ya Rais Magufuli kama "PhD ya kipekee"

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,881
Hongera sana Ngosha. Wanasemaga lile komu ulilo nalo limekupa nyongeza zaidi ya akili natangaza rasmi kuwa msemo huu ni wa kweli kabisa.

Miaka ya kuanzia 2009 hadi 2011 nilikuwa nakuona ukipitapita maeneo ya UDSM hasa hasa CoNAS na CoET nikawaza labda huwa unafuatilia matokeo ya vipimo vya udongo. La hau la kumbe ulikuwa unasoma. Hongera sana Ngosha.

Usifanye mchezo walimu wetu pale UDSM wanavyosotea PHD zao kwa miaka full time mitano na wanachukua kabisa na likizo maalum za kimasomo na wakirudi unajua kabisa kuwa katoka shule ngumu kisha wewe unapiga tu part time tena kwa miaka mitatu unaweka gamba lako la juu kabisa kwa pani! Una akili wewe! Uko vizuri munooooo! Uko pahala pazuri! Tembea kifua mbele Ngosha.

Pembeni ya mada naona na wale jamaa waliokupigania leo tunawaona umewapa vyeo vya juu kwenye mashirika ya umma. Ila na mimi nilikusaidiaga ka kozi fulani kale ulikotakiwa kufanya kabla hujaanza PhD ili ukidhi vigezo.

Ngosha tembea kifua mbele maana uko vizuri muno munooo! Nakutambua kama shujaa Ngosha!
 
Hongera sana Ngosha. Wanasemaga lile komu ulilo nalo limekupa nyongeza zaidi ya akili natangaza rasmi kuwa msemo huu ni wa kweli kabisa.

Miaka ya kuanzia 2009 hadi 2011 nilikuwa nakuona ukipitapita maeneo ya UDSM hasa hasa CoNAS na CoET nikawaza labda huwa unafuatilia matokeo ya vipimo vya udongo. La hau la kumbe ulikuwa unasoma. Hongera sana Ngosha.

Usifanye mchezo walimu wetu pale UDSM wanavyosotea PHD zao kwa miaka full time mitano na wanachukua kabisa na likizo maalum za kimasomo na wakirudi unajua kabisa kuwa katoka shule ngumu kisha wewe unapiga tu part time tena kwa miaka mitatu unaweka gamba lako la juu kabisa kwa pani! Una akili wewe! Uko vizuri munooooo! Uko pahala pazuri! Tembea kifua mbele Ngosha.

Pembeni ya mada naona na wale jamaa waliokupigania leo tunawaona umewapa vyeo vya juu kwenye mashirika ya umaa. Ila na mimi nilikusaidiaga ka kozi fulani kale ulikotakiwa kufanya kabla hujaanza PhD ili ukidhi vigezo.

Ngosha tembea kifua mbele maana uko vizuri muno munooo! Nakutambua kama shujaa Ngosha!
Sarcastic!
 
G Sam
Haka ka PhD ka ngosha kamegharimu maisha ya mtu mmoja anaitagwa Benisaanane......mpaka leo hajulikani kapotezewaga wapi....!Nasikiaga huyu mjamaa Bensaanane aliulizaga tu kuwa haka ka PhD ka ngosha kalikuwa eti ni COPY&PASTE......!!!
Sasa mimi nasema kama ka PhD ka ngosha ni ka ukweli alishindwaje kumwambia Bensaanane akaulizage huko UDSM kama ngosha alipata ka PhD kake halali au alinukuu na kunakili???
Kitendo cha kumpoteza mjamaa Bensaanane kwa kwa kuhoji uhalali wa ka PhD ka ngosha inaonekana kuna ukweli nyuma yake.....!!! Anayeweza kuthibitisha hilo ni Ben Saanane na kwa bakhti mbaya hatunaye tena......!!!!
 
Haka ka PhD ka ngosha kamegharimu maisha ya mtu mmoja anaitagwa Benisaanane......mpaka leo hajulikani kapotezewaga wapi....!Nasikiaga huyu mjamaa Bensaanane aliulizaga tu kuwa haka ka PhD ka ngosha kalikuwa eti ni COPY&PASTE......!!!
Sasa mimi nasema kama ka PhD ka ngosha ni ka ukweli alishindwaje kumwambia Bensaanane akaulizage huko UDSM kama ngosha alipata ka PhD kake halai au alinukuu na kunakili???
Kitendo cha kumpoteza mjamaa Bensaanane kwa kwa kuhoji uhalali wa ka PhD ka ngosha inaonekana kuna ukweli nyuma yake.....!!! Anayeweza kuthibitisha hilo ni Ben Saanane na kwa bakhti mbaya hatunaye tena......!!!!
Hatunae tena?!!! Ina maana wame.....?
 
Theses yake imeibwa Na CHADEMA ndio maana haiko kwenye maktaba yoyote Wala mitandaoni. CHADEMA wabaya sana, tena ndio wao waliroga ndege hadi ikatumia siku tano kutoka Canada to Tz

Bujibuji,
Umesema kweli kabisa....!
CHADEMA ni watu wabaya sana maana kila baya litakalo mtokea Magufuli na Serikali yake wanaosababisha ni CHADEMA...!!
CHADEMA ni MTIHANI kwa Rais Magufuli na ni KIPIMO cha Utawala huu dhalimu...!
 
Tunaomba theses yake iwekwe hadharani kwa manufaa ya taifa

Njomba Nkapa Rais mstahafu wa A3 alikuwa akisema,UKWELI na UWAZI...!
Kama PhD ya Rais Magufuli ni HALALI na siyo ya KILAZA kama vilaza aliowafukuza yeye mwenyewe kazini kwa kughushi vyeti basi na yake aweke PhD yake MUBASHARA ili kila Mtz aione na ajue kweli Rais wao siyo KILAZA baali ni bonge la GENIUS......!!!
 
Back
Top Bottom