Natangaza rasmi kuitambua PhD ya Rais Magufuli kama "PhD ya kipekee"

Paskali ni yule yule juzi, jana na leo, kinachofanya watu waone tofauti ni different approach ya ku deal na issues kwenye awamu tofauti zenye mazingira tofauti.
P
Si kweli mkuu P, umebadilika sana na si yule wa miaka miwili kurudi nyuma. Kweli damu nzito kuliko maji.
 
Mimi ni mjeshi, kwenye mbinu za medani, mnapokutana na ambush, the approach ni kutumia kitukinachoitwa initiave lengo ni survival. Hii ndio the law of the jungle, ili uweze ku survive lazima uwe na uwezo wa kuji adapt na the changing environments, kwa kubadilika ili uendane na mabadiliko u survive, au ushindwe kubadilika na kuwa extinct!, I am a survival!.

Angalia tarehe ya bandiko hili ili uweze kuona nilianza kubadilika lini

Mkuu P hilo nalitambua sana, ila bado unatushangaza sana wale tuliokufahamu kitambo cha msingi bado unajua kulicheza game. Wengine tuliamua kukaa pembeni ili yaliyopo yapite kuliko kufanya tusichokiamini. Hata ID zetu za kitambo zinapumzika kwanza.
 
Kuna wapambanaji wa aina tatu,
1. Mashujaa-hawa kazi yao ni kupigana tuu, fight, fight, fight hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike kwa kuutoa uhai wao kupigania kile wanachokiamini, kisha hutamkwa mashujaa. Hawa ni watu wa "no retreat, no surrender".
2. Kuna wapiganaji makini, hawa ni ma strategist ambao kwanza hawaingii vitani kama hawana uhakika wa kushinda, never fight a losing battle. Na wakipigana wakiona dalili za kushindwa, wana surrender kwa ku retreat na sometimes when they can't beat them, they join them kwa kujiunga nao. Mimi ndio niko kundi hili. The best fighters ni wale wanao change strategies from time to time.
3. Kuna wapiganaji watazamaji, ambao wanapiga sana kelele ila ni waoga kama kunguru. Mambo yakiwa magumu wanaufyata kabisa na kukauka kama sio wao. Naoma mwenzangu ndio kama uko kundi hili, yaani unakubali kukaa pembeni, kusubiri kwa kumwachia gedere shamba?!, utayavuna mabua.

Kwa kiasi fulani naweza kuwa kundi namba tatu na si kosa kwani tuna differ personalities. Tofauti ni kuwa wengine tulizichanga vibaya 2015 kwa kushangilia waziwazi upande ulioangukia pua na unajua hasira zilizopo dhidi ya kundi hilo. Wenzetu tumewaona wakipitia misukosuko wacha tuwe kunguru kwa muda, ni aina ya kujipanga ili upepo ukipoa turudi kilingeni.
 
Nakuunga mkono, sometimes better be safer than sorry, hata akina sisi 2015 tulikumbatia mabadiliko, baadhi yetu cha moto tunakipata, wengine wenzetu wameisha kubali yaishe na kuunga mkono juhudi, wengine bado tunajitafakari, all and all, life has to go on.
P
 
Paskali ni yule yule juzi, jana na leo, kinachofanya watu waone tofauti ni different approach ya ku deal na issues kwenye awamu tofauti zenye mazingira tofauti.
P
Ni kweli kabisa, lakini mazingira tofauti yakikubadili una kuwa sio yuleyule tena.
Kama ulikuwa unaingia kanisani na kuitwa mkristo, unategemea mazingira yakikufanya uingie kuabudu msikitini utaitwa tena mkristo? Hapana wewe ni muislamu hivyo sio yuleyule tena!
 
Nakuunga mkono, sometimes better be safer than sorry, hata akina sisi 2015 tulikumbatia mabadiliko, baadhi yetu cha moto tunakipata, wengine wenzetu wameisha kubali yaishe na kuunga mkono juhudi, wengine bado tunajitafakari, all and all, life has to go on.
P
Sawa kabisa mkuu P, wenzangu wawili ni wahanga na maisha yamebadilika sana, umri ukishaenda huwa tunaepuka risk zinazoepukika. Kwangu ilikuwa ni funzo kuwa kwa siasa zetu haswa wakati wa mchakato unahitaji either kuwa makini au uamue kubet na kuwa tayari kuwa accountable kitu ambacho kitawagharimu hadi wapendwa wako wasiohusika.
 
G Sam
Haka ka PhD ka ngosha kamegharimu maisha ya mtu mmoja anaitagwa Benisaanane......mpaka leo hajulikani kapotezewaga wapi....!Nasikiaga huyu mjamaa Bensaanane aliulizaga tu kuwa haka ka PhD ka ngosha kalikuwa eti ni COPY&PASTE......!!!
Sasa mimi nasema kama ka PhD ka ngosha ni ka ukweli alishindwaje kumwambia Bensaanane akaulizage huko UDSM kama ngosha alipata ka PhD kake halali au alinukuu na kunakili???
Kitendo cha kumpoteza mjamaa Bensaanane kwa kwa kuhoji uhalali wa ka PhD ka ngosha inaonekana kuna ukweli nyuma yake.....!!! Anayeweza kuthibitisha hilo ni Ben Saanane na kwa bakhti mbaya hatunaye tena......!!!!
Acha kuongea vitu vya hatari, je,nikweli hatunae? na sababu ya kutoweka kwake ni hiyo? Kwa kuwa sijaona mahali ikidhibitishwa habari hizo.
 
Huwezi elewa ungali mtoto awawezimshikilia mateka miaka yote,japo wanayajutia matendo yao waliyafanya wakidhani ayatajulikana,acha hii hatia iwatafune maisha yao yote yaliyobaki duniani,japo wanna kila kitu lkn wamekosa amani ya moyo.
 
Atakuwa anajuta kununua phd wakati ni kilaza. Ukweli chenkampa ndiye anaefanana na phd badala ya huyu mtaalamu wa kufuga mintunga. Damu ya Ben saa 8 itamuumbua hadi anuke maiti
 
Back
Top Bottom