Natangaza rasmi kuanza utabiri

Aisee tukishirikiana kufanya collaboration itakuwa POA mnk na mm siyo haba kuona yajayoo na yataka vyo kuwa
 
Daah! Jamaa noma sana. Hongera sana.

Ila umeniacha hoi na hiyo bonge la offisi lenye kiyoyozi unalokaa mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23], najaribu ku imagine. But all in all , wewe ni Noma sana

Respect..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787] jmaa nimecheka Sana
 
Kwenye ndoto yako ya magu kufariki,kwenye ndoto pia uliota ugonjwa ndo ulimuondoa?
 
Aise kumbe movie hazidanganyi ni vitu vinavyotokea kwenye maisha halisi
 
JF wangefanya mahojiano naye kwa ndoto zote alizoota for branding purpose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…