Natangaza nia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natangaza nia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Eeka Mangi, Aug 31, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani nimeamini kuwa naweza siasa, hasa siasa za Tanzania. Tatizo langu ni moja tu! MTU WA KUNIANDIKIA HOTUBA ZANGU! Kama humu ndani ku yeyote anayeweza kuandika hotuba zenye mvuto kama za JK basi tuwasiliane.
  Sitaki yule atakayeandika ahadi za ukweli! Kitu kama kujenga kumbi za disco kila kata na vitu ka hivyo.
  Nasubiri mtaalamu huyo
   
Loading...