msabato masalia
Senior Member
- Dec 3, 2008
- 118
- 20
Baada ya kutafakari na kuona siasa(za maji taka-kama CCM wanavyoziita)ambazo si za kuleta maendeleo bali habari za mipasho na "kumtafuta mchawi" kati ya Kagasheki MP na Mayor Amani. Na kwakuwa siasa zao zime-base kwenye kuwania kiti cha U-MP na wala hakuna lolote la maana zaidi ya kutaka kutumia ule msemo wa Laurent Desire Kabila-" Ntakuwa mtawala wa Congo either kwa msaada wa waasi,Mungu au shetani". Mayor Amani in just a corrupt guy so as his party(CCM)which doesnt leave Kagasheki as Mr. clean. Kagasheki is just a handpicked and political made guy form Father in law, Mzee Ruksa.
Mkuu hapo kwenye "kamombo" naomba nifafanulie, mwenzio wa 'kata' siambulii!! Pia si dhani kama kutumia "kamombo" ni qualification screen!!
Matokeo yake umejikita kwenye mbwembwe ukasahau hoja!!
Jikite hapa-:
-kwakuwa unatangaza nia kwa public post, ni vema utuambie jina halisi ili tukutathimini.
-kwa tiketi ya chama gani.
-tupe ABC za matarajio yako ukiwa mbunge
-kilichokufanya utangaze nia(kuchukizwa na siasa za majitaka haitoshi)!!
Zaidi, kila kheri, nasubiri jibu
Msabato Masalia wewe kweli ni mzaliwa wa Buyekela? Ulitakiwa uandike hivi "Omwange otaemu kyonka oijuke ekyo wankozile"So far so good sina political party kwasababu ya kuogopa mizengwe na kuwekwa mfukoni.I was born and raised there,went to school there.Originally from Buyekera.I have seen all of them come since I was a kid from Rwangisa,Katalaiya,Rwakatale and now Kagasheki. They all have the same fate except Rwangisa because he was old school.The so called "sera" za chama is just bullshit,you need a committed guy like me with a clean backyard to make it happen independent(lets hope our constitution is ready by 2014) with collaborations with people and not parties.Kinachotokea sasa hivi pale Bukoba sio kipya kama wewe umezaliwa na kukulia pale bukoba mjini,ukimtoa Mzee Rwangisa.Katalaiya alikufa kisiasa kama Kagasheki alivyoanza,Rwakatale was the same,it is difficult politically to fight Ghost within your own party. Kumbuka Wahaya ni watu wasiosahau,si watu wa ubwabwa na nyama, "omwange otae chonka oijuke ekyo wankozile".
Mkuu hapo kwenye "kamombo" naomba nifafanulie, mwenzio wa 'kata' siambulii!! Pia si dhani kama kutumia "kamombo" ni qualification screen!!
Matokeo yake umejikita kwenye mbwembwe ukasahau hoja!!
Jikite hapa-:
-kwakuwa unatangaza nia kwa public post, ni vema utuambie jina halisi ili tukutathimini.
-kwa tiketi ya chama gani.
-tupe ABC za matarajio yako ukiwa mbunge
-kilichokufanya utangaze nia(kuchukizwa na siasa za majitaka haitoshi)!!
Zaidi, kila kheri, nasubiri jibu
So far so good sina political party kwasababu ya kuogopa mizengwe na kuwekwa mfukoni.I was born and raised there,went to school there.Originally from Buyekera.I have seen all of them come since I was a kid from Rwangisa,Katalaiya,Rwakatale and now Kagasheki. They all have the same fate except Rwangisa because he was old school.The so called "sera" za chama is just bullshit,you need a committed guy like me with a clean backyard to make it happen independent(lets hope our constitution is ready by 2014) with collaborations with people and not parties.Kinachotokea sasa hivi pale Bukoba sio kipya kama wewe umezaliwa na kukulia pale bukoba mjini,ukimtoa Mzee Rwangisa.Katalaiya alikufa kisiasa kama Kagasheki alivyoanza,Rwakatale was the same,it is difficult politically to fight Ghost within your own party. Kumbuka Wahaya ni watu wasiosahau,si watu wa ubwabwa na nyama, "omwange otae chonka oijuke ekyo wankozile".
Una uhakika na unachokisema mbona unaficha identity yako hapa Jf? achana na mawazo yasiyo na tija Mkuu,huwezi kwenda popote dalili zinaonekana mapema
Wahaya wa Uganda na Waganda Kyaka utawajua tu."....you know waitu inshomile mpaka fwomu fwoo with no syndicate waitu...." mbwembwe nyiiiingi.
Mkuu Msabato,
Kidogo napatwa na mashaka na nia yako, kama hauko siriasi mkuu!! Yaani unatangaza nia paspo chama nawe ungali unajua katiba ya sasa hairuhusu mgombea binafsi!!? Pia unaonyesha nawewe ni mtu wa 'kitu kidogo' kwa jinsi unavojishtukia!! Japo nakutakia la kheri ila angalia na wewe usijekuwa mmoja wa "siasa za maji taka" kwa jinsi nilivokusoma hapo juu!!
Labda mkuu tujulishane bwana, uko Buyekera ya wapi, Polisi, msikitini, juu kwemye mawe, darajani au pale njia panda ya Kashura?
"Otugambile oli owa eyo wa, tukumanye, kolaba oli kishuma ti tukue kura!! Ahaa ha haa!!