Mkuu naona wewe umeshindwa mbio kabla ya kuanza, kwanza unategemea huruma ya katiba sijui uje kama mgombea binafsi au vipi??? Kwa katiba hii labda utokee chama cha CCM ndipo umuonyeshe mlango Kagasheki, lakini CDM kumbuka kuna Bwn Wilbrood anangojea ile gooo, kwa sababu alishindwa kimizengwe kwa hila za CCM na system yake, je uko tayari kupambana na huyo Bwn??? Sikukatishi tamaa nakutakia mafanikio hiyo 2015 kwata mashaija!!!:target: Piga ua chinja galagaza. Lazima kieleweke. 2015 namuonyesha mlango wa kutokea Kagasheki na wakora wenzie.
STIDE.....Kama kawaida,"omwatani takweta mushaija".
Mkuu hapo kwenye "kamombo" naomba nifafanulie, mwenzio wa 'kata' siambulii!! Pia si dhani kama kutumia "kamombo" ni qualification screen!!
Matokeo yake umejikita kwenye mbwembwe ukasahau hoja!!
Jikite hapa-:
-kwakuwa unatangaza nia kwa public post, ni vema utuambie jina halisi ili tukutathimini.
-kwa tiketi ya chama gani.
-tupe ABC za matarajio yako ukiwa mbunge
-kilichokufanya utangaze nia(kuchukizwa na siasa za majitaka haitoshi)!!
Zaidi, kila kheri, nasubiri jibu