natangaza mgogoro na tbc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natangaza mgogoro na tbc

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Makirita Amani, Jun 27, 2012.

 1. Makirita Amani

  Makirita Amani JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,183
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  kwa kweli hii tbc inakoelekea ni kufa kibudu. Kwanza kabisa sijui hao mafundi mitambo wana matatizo gani, kila inapokaribia habari mara sauti hakuna mara picha zinakwama taarifa inakuja kuanza dakika tano baada ya muda. Pili habari za tbc ni za upotoshaji mkubwa na hazionyeshi uhalisia wa hali iliyopo nchini. Tbc imetoka kuwa chombo cha habari mpaka chombo cha propaganda za ccm. Sina imani tena na tbc na natangaza mgogoro na chombo hiki cha propaganda za ccm.
   
 2. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huyo mshana ni kilaza na mtu mwenye kupenda sana kujipendekeza. I hate him so much. Mimi tbc taarifa za habari zake nilishaacha kutazama kitamboo.
   
 3. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Mi nimefuatilia lakini sijaona habari ya dr ulimboka, mi nadhan km kwel hii habari haikutoka basi asilimia 100 serikal inahusika. Na tbc wanajua.
   
 4. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  TBC hawana tofauti na magazeti ya Uhuru na Mzalendo. Hebu yachungulie kesho uone habari zao juu ya kipigo cha Dr. Uli mwakingwe. Utapata picha halisi.
   
 5. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  nakuunga mkono.
   
 6. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina mda mrefu sana habari(za ndani)siangalii kwenye tv kabisa nazisoma kwenye mitandao tu,sina imani na tv zetu.
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kubebana , kila taasisi inayomilikiwa na serikali tanzania utumbo mtupu, atc, trl, tbc...wakati kwa wenzetu ndo zina ngara eg kbc, kenya airways...
   
 8. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Yani kama ulikuwepo.
  Nimekesha Tbc lakini ya Ulimboka hawakuthubutu.
  Hapa wanahusika.
   
Loading...