stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,106
Salamu wakuu,
heshima kwenu. Hili jambo ni la siku nyingi nimekua naliwaza ila leo inanibidi nitangaze kuwa nipo ninamchumbia Mtajwa hapo juu Mary Hanbig
Natangaza rasmi kuweka wazi kuwa nimekua nikimchumbia kigori huyu kwa muda sasa na nadhani baadhi ya member walishasikia harufu ya uhusiano wetu wa karibu.
Natangaza tena muda si mrefu tutatangaza ndoa. Na mwenye kipingamizi apeleke malalamiko yake kwenye kamati ya mahusiano na ndoa inayoongozwa na Baba V na wasaidizi wake.
Natoa nafasi kuwa naanza kupokea barua kwa wanaotaka kuwa washenga wangu.
Copy kwa wafwatao
chimbuvu, Erick52, mzizimkavu, watu8, mamndenyi, madame B, zion daughter, slave, c6, Babu Asprin, Baba V, nitonye, mungi, Bishanga Arabela, Arushaone, Vin Disel, manoah, Filipo. Bro mkubwa Mr. Rocky