shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 64
Akili nyengine za kipuuzi wewe umeona hayo kwa jk je mazuri aliyoyafanya pia unaweza kuyafanya labda ungetangaza kugombea ukatibu mkuu wa chama chako angalau ukapata kujikopesha na kujichukulia wake za watu na kufanya uasharati na kila kimwana wa ofisini kwako.
Akili nyengine za kipuuzi wewe umeona hayo kwa jk je mazuri aliyoyafanya pia unaweza kuyafanya labda ungetangaza kugombea ukatibu mkuu wa chama chako angalau ukapata kujikopesha na kujichukulia wake za watu na kufanya uasharati na kila kimwana wa ofisini kwako.
Mhe. Rais mtarajiwa nafikiri katika kipindi chako cha kuongoza makamo wa rais pia hatokuwa na haja hata kidogo kwani sidhani kama kazi ya kukata utepe kwnye miradi mbalimbali itakushinda.
Mimi nakupa kura kwasababu kwa mujibu wa katiba ukiweza kufanya kazi zaidi ya rais aliyeko unaruhusiwa kuwa mgombea binafsi
We safiri tu hiyo ndio kazi kubwa
Na ukiiweza kura zako
Jamani mbona raisi Congo DR walimfanyia mazishi ya kifahari lwambo lwanzo makiadi? Raisi mwinyi alikwenda nyumbani kwa Dewji kumfariji kifo cha mkewe aliyekufa kwa ajari. kwa sababu kiongozi wa wamu ya kwanza alikuwa hawafariji wana familia wa wasanii waliokuwa wanakufa kama kina ahmmedi kipande, Mbaraka mwishehe na salum abdallah, basi hiyo nayo iwe halamu kwa mtawala kuhudhulia mazishi ya wasanii?
Jusi juzi raisi kikwete alimualika raisi mwai kibaki na kumpatia heshima ya kjina la barabara, watu walilalamika. jamani malalamiko mengine tuyawekee chujio.
kwa hiyo ni vema raisi wetu aache kuvaa jumba halafu avae chou en lai, halafu nywere zake azipige bushback ndipo akatembelee ulaya? nani atamthamini dunia hii ya leo! wewe uvae minguo ya kichina ya mwaka 1967, halafu ukatembelee UK na USA? msadda utakaofanikiwa kupata kama unaomba ni mafuta ya break tuu na sio kingine!!! kweli ujamaa na kujitegemea umeharibu sana jamii ya kitanzania kuliko hata kutawaliwa na mkoloni.
Naaminí kazí ya Urais utaiweza kwa kuwa jukumu lako kubwa kama anavyofanya JK anaposafiri kwenda nje ya nchí ni kutafuta kupiga picha na celebrities.
Kwa hiyo ww utakachofanya siyo kurudia kupiga picha na celebrities aliopiga não plcha JK, kama vile Beckham, 50 cents, Naomi Campbell na wengineo, bali utafute list mpya, ili marais wa awamu ya nne na tano wa hapa TZ muingie kwenye Guiness world records, kwamba mtakuwa mmewazidi marais wote tokea dunia iumbwe kwa kupiga picha na celebrities wengi zaidí!!
Hujamtukana KIKWETE ila umeongelea upande wake wa pili
Kweli Chadema wamepata jembe hapo inabidi Dr Slaa akae pembeni.
Mkeo mwenyewe amekushinda, nakushauri umalize matatizo yako ya kifamilia kwanza
Huyu jamaa kasahau mema ya mh.rais kama yafuatayo:Akili nyengine za kipuuzi wewe umeona hayo kwa jk je mazuri aliyoyafanya pia unaweza kuyafanya labda ungetangaza kugombea ukatibu mkuu wa chama chako angalau ukapata kujikopesha na kujichukulia wake za watu na kufanya uasharati na kila kimwana wa ofisini kwako.
na usisahau kuwapa viburudisho vyako nafasi za juu serikalini
Ritz Kwani ni lazima nigombee kwa ticketi ya Chadema ? Unaonaje ni kugombea kwa ticketi ya CCM?
Kama mkeo tunakulelea nchi utaiweza mkuu?