muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 879
- 551
kwa hiyo ni vema raisi wetu aache kuvaa jumba halafu avae chou en lai, halafu nywere zake azipige bushback ndipo akatembelee ulaya? nani atamthamini dunia hii ya leo! wewe uvae minguo ya kichina ya mwaka 1967, halafu ukatembelee UK na USA? msadda utakaofanikiwa kupata kama unaomba ni mafuta ya break tuu na sio kingine!!! kweli ujamaa na kujitegemea umeharibu sana jamii ya kitanzania kuliko hata kutawaliwa na mkoloni.
Baada ya kutazama utendaji kazi wa Rais wangu mheshimiwa JK na kufanya self assessment nimegundua kuwa naweza kuwa Rais wa Nchi hii....
Moja Kati ya kazi kubwa anayofanya JK ambayo nami naiweza vilivyo ni kupanga na kukubali mialiko ya nje na kusafiri hata Kama ni kufungua NGO, kupiga Picha na wasanii, na kuhudhulia mazishi.... Hizi ni kazi nilizozipenda tangu udogo wangu.
Kingine ni kukimbia matatizo yanapotokea kwa kukimbilia nje ya nchi na kumkabidhi Waziri Mkuu wangu kwanza achemke kisha Kuja kuyamaliza either kwa kukaa na wazee ww Dar es salaam Au hotuba Ikulu Huku ukichekacheka ... Hii experience nayo ninayo Kwani niliwahi kuwa muigizaji...
Kazi nyingine ya kuudhulia mazishi ya wasanii na kuwatembelea wakiwa wagonjwa ... Nayo nahifahamu vizuri sana na pia ni mwepesi Wa kufuatilia mazishi yenye ujiko...
Na kazi ya kupokea na kujaribu suti nayo sidhani Kama itanishinda Kama ninavyoweza kuhaidi mambo Mengi bila kutekeleza.....
Wana bodi nawaombeni mniorodheshehe kazi zingine za Rais ili niweze kujipima vizuri kabla sijaingia kwenye uchaguzi

Labda urais wa tff mana huko ndio kunafaa majungu yako haya kufanya kazi