Mkuu nadhani kila mmoja ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama anachokubaliana na policies zake...... yaani hapa Jeifu watu wengi mnajifanya kupambania uhuru wa kujieleza,uhuru wa mawazo na uhuru wa kufanya jambo bila kuingiliana, lakini kwasababu ya tofauti ya vyama nawewe unamtukana kwa kumwita mpuuzi? Unadhani hapo uko sahihi? Tuishi kile tunachokipigia kelele