Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
natamani kumpenda mtu humu lakini namuogopa unahisi ni nani.:A S 465:
unafikiri mi sijui kama ni poyoyo najua kaka.Username yako inashajiisha u'mwanaume!
Kama hivyo ndivyo na umuogopae ni demu , huo utakua kwa kikwetu tunaita Upoyoyo! Samaki akiogopa maji what else ?
Username yako inashajiisha u'mwanaume!
Kama hivyo ndivyo na umuogopae ni demu , huo utakua kwa kikwetu tunaita Upoyoyo! Samaki akiogopa maji what else ?