aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 776
- 1,121
- Nataka Rais wa Zanzibar atambulike kitaifa na kimataifa. Nataka heshima ya nchi yetu, iwe dola kamili.(Sovereign State).
Nataka nchi yangu ya Zanzibar iwe na mamlaka kamili kitaifa na kimataifa (Sovereignty). Nataka Paspoti ya Zanzibar irudishwe.
Nataka Zanzibar iwe na sarafu yake na Benki Kuu (Central Bank). Nataka Zanzibar irudishiwe Kiti chake cha Umoja wa Mataifa. Nataka Mali asili yetu mafuta, gesi n.k tuwachiwe wenyewe tuchimbe...
Je wewe mwenzangu unaunga mkono matakwa haya?
Mimi Aleesha naunga mkono kwa 100% wewe je?