Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

Au siyo mzee, wekezeni basi, mimi sina tatizo na idea ya mleta mada. Shida ni vijana wa kibongo, walishaniharibia malengo kwa kuendekeza starehe na kuacha makubaliano tuliyoyaweka.
Relax bwashee šŸ˜…
 
Tunacheza michezo ya kawaida ila unakuta mtu anagoma kutoa hela mara sijui kakasirika anataka hela yake sijui anadaiwa ada ya mtoto shule tumpe hela yake mara Kodi yaan vurugu tupu sembuse iyo ya million 5 😳 Bora mtu ajiwekee mwenyewe
Nime mtilia mtoa mada mashaka , kwanini hataki watu wafikirie kwa undani hiki jambošŸ¤”
 
Hapo unakuta kila mtu ana malengo yake kichwani kwa kiasi Fulani cha pesa kikifika
upo sahihi kabisa mkuu!, umoja wanaweza wenzetu Wahindi na wazungu ila kwa sisi ngozi nyeusi bado tuna safari ndefu!, ndio maana kampuni nyingi za kibongo huendeshwa na mtu mmoja ambaye ndio mwanzilishi siku akifa na kampuni inakufa hakuna wa kuiendeleza.
 
Tukiamua wote kwa pamoja kwa kufuata misingi, tutafanikiwa.
Sahihi. Ila mimi nimesema uhalisia wa watu wengi likija swala la pesa, janjajanja ni nyingi mkuu. Bora mngekua wawili ila muunganishe tabia za watu 40 mtapigana. Namna nzuri ni wewe kuanzisha jambo na kuliwekea misingi ya kisheria kisha ruhusu watu waingie na kufuata sharia zilizopo hapo hata 100 utawa control ila sasa mwanziloshi nae atakua mwaminifu?
 
šŸ¤
 
Lazima tujifikirie kwa nini hautaki tujifirie au wewe ni tapeli?
Sifa Moja ya tapeli ni kutokukufafanulia vizuri dhumuni lake kuu kuhusu fedha anayokusisitiza kuitoa, kipi ambacho nimeongea hujaelewa?, pia sijakwambia utoe nimekuja na wazo la uwekezaji, na huu uwekezaji uko wazi DUNIANI, so, hata wewe binafsi unaweza fuatilia na kujiridhisha kuwa ni kweli or uongo kabla hujaandika maoni yako.
 
Back
Top Bottom