Naomba uweke na topics utakazoongea naye ili tukusaidie kuongeza nyama. Kumbuka umetujulisha hivyo akikukubalia, utuletee mrejesho.Max msikivu atakukubalia ombi lako.
Ila kama atakuwa bussy sana ningependa kuwakilisha.
Ila kingine mimi nipo mkoani pia kwa hio haitawezkana kuwakilisha
Nilifikiri namjibu mleta mada. I hope she will read it anyway.Naomba uweke na topics utakazoongea naye ili tukusaidie kuongeza nyama. Kumbuka umetujulisha hivyo akikukubalia, utuletee mrejesho.
Nimebadili mawazo sitaki tena.Naomba uweke na topics utakazoongea naye ili tukusaidie kuongeza nyama. Kumbuka umetujulisha hivyo akikukubalia, utuletee mrejesho.
Kwani MBITIYAZA kakualika?Nimebadili mawazo sitaki tena.
Mkuu umetisha sana.Max msikivu atakukubalia ombi lako.
Ila kama atakuwa bussy sana ningependa kuwakilisha.
Ila kingine mimi nipo mkoani pia kwa hio haitawezkana kuwakilisha
Hahahahahaaaaaukikutana nae usisahau kumuambia "hide my ID"
Mimi natamani nipate dinner na wewe ,usiku wa giza kabisa,niwawakilishe wana Jf haha ,natumaini ombi langu litashughulikiwaNitakuja pia