Mi siamini kabisa kama dini zetu hizi zinaamini katika Mungu 1!
Yaani Wakristo waamini msamehe adui yako halafu waislam waamini UA Kafiri halafu iwe Mungu 1?
Dini 1 inaamini katika mke 1 mume 1 wakati nyingine inaamini katika wake 4 halafu iwe Mungu 1?
Dini nyingine inasema Yesu ni mwana wa Mungu while nyingine iseme yesu ni nabii kama wengine, aaah please hebu kua serious bwn, Mungu wa Wakristo na Waislam sio Mungu 1 hata kidogo though kwa kusema hivyo sina maana usiolewe nae, hio iko ndani ya maamuzi yako mwenyewe.