Natamani sana maisha haya

Sep 13, 2017
52
21
Nataman sana maisha aya sema Wanawake wa cku izi bhana unakutana nae asubuhi jioni anaomba ela ya. Saloon daaaah mpaka nimeamua kuwa mwenyewe tuu. Now Man. Now Love Now Stress
b89a840f19d262b9726d12e3a1eab89e.jpg
 
Kwahiyo wewe unataka dem wako akusaidie nani kumtunza kama uwezi kaa pembeni endelea kutamani tu hivyo hivyo acha wenzio wanao gharamia wale vitu vizuri
 
Pa1 sana Pesa ndio kila kitu kwa awa dada zetu kama auamin embe tembelea gari cku moja ndio utaamini kweli mapenzi cku izi amna
 
Back
Top Bottom