Natamani sana kuwa tajiri

Natamani sana kuwa tajiri

Wanachadema mnawaza mambo ya kusfikirika tu
 
Hahaha jiunge ccm kwanza udhulumu vya kutosha, dawa ya utajiri ni kudhulumu, ukitosheka unanza kufungua vijikampuni kwapesa za kudhulumu.
 
Wacheki hawa matajiri wakuwezeshe ule kuku
images-39.jpg
images-38.jpg
 
Utajiri wa kiwango kipi??
1.Kiwango cha akina Bakhera
2.utajiri wa kijanja janja kama wa MO
3.utajiri wa kiwango cha akina kikwete/lowassa/Mkono/Magu??
4.utajiri wa kiwango cha akina mafuruki??
5.utajiri wa kiwango cha akina Diamond/messi/CR7
6.utajiri wa kiwango cha akina abood/
7.utajiri kiwango cha akina dangote/Jeff bezos/salim/bilget???
 
Wakikupa mbinu na mimi nigaie,
Tupo pamoja kwenye mawazo hayo.
 
Back
Top Bottom